Siri zetu WANYWAJI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,016
299299_179435248860553_1825166756_n.jpg
 
ki2 t*go hyo c umechek mobile no ilotolewa marejesho huenda mshkaj ana six pack ndo mana barmaid kavutiwa
 
Last edited by a moderator:
jamaa kafunguka kisa tumbo, na hizi fasheni za siku hizi ni zaidi ya kuona matumbo
 
jamaa kafunguka kisa tumbo, na hizi fasheni za siku hizi ni zaidi ya kuona matumbo
Kwani aliyeeandilka hii ni jamaa au FATU hapo!
Inaonyesha hujausoma vizuri UJUMBE.
Halafu ujumbe kama huu unaletewa na mdada anakuambia baba BILL yako hii!!!
Kwa MTAJI huu kweli TZ bila ukimwi ....
 
Subiri nimfowadie mtu fulani humu JF maana ndio zake hizi
 
Du mmepa bonge la promo huyu dada kwakweli kama yuko hapa Shinyanga lazima nimpigie
 
Bujibuji huyo Fatuma anaonekana 7 A ... maana jinsi alivyoandika inaonekana Shule in mgogoro

Umeanika namba yake yote!

Alafu kumbe una tumbo la kutamanisha wadada
 
Huyu bar maid kiboko elimu darasa la saba ila anajua ku purchase online?
Ubunifu kitu muhimu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom