Siri za siasa na mbinu zilizo nyuma ya pazia

Je siasa za Tanzania zimejaa ukakasi wa kutisha na kuogofya??

  • Total voters
    5

KHM 1995

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
329
456
Habari zenu wakuu, mada kama mlivyo ona hapo juu, lakini kikubwa ninacho zungumzia siri ya siasa na mikakati iliyo nyuma ya pazia kwa kinvuli cha siasa, kitu hiki ni kipana lakini kwa mwenye busara na hekima anaweza fungua code katika siasa za Tanzania, ijapokuwa kuna kitu watanzania wamekikosa mind game, lakin wakuu nawakaribisha
 
Watawala wamemalizana na wapinzani ambao wote ni mapandikizi yao.

Wananchi nao kwa elimu ndogo na isiyo na uwezo wa kuchambua na kujitambua wamekata tamaa.

Lakini kikubwa ni kwamba watawala wamejihakikishia kuwa wananchi ni wajinga na wasojali (Ignorant) hivyo wanatumia udhaifu huo kuwarubuni na kuwatumia wananchi hao kwa manufaa yao watawala.
 
Habari zenu wakuu, mada kama mlivyo ona hapo juu, lakini kikubwa ninacho zungumzia siri ya siasa na mikakati iliyo nyuma ya pazia kwa kinvuli cha siasa, kitu hiki ni kipana lakini kwa mwenye busara na hekima anaweza fungua code katika siasa za Tanzania, ijapokuwa kuna kitu watanzania wamekikosa mind game, lakin wakuu nawakaribisha
Kwani vipi?
 
Ebu Angalia sie wananchi tunatoa Kodi then unasikia kiongozi anakwambia Sijui rais katoa billion kazaa. Unajiuliza rais katoa wapi? Kwahiyo Tanzania ni nchi ngumu Sana. Viongozi tulio nao sio wale ambao kwa sehemu kubwa walitokana na matakwa ya sisi raia wa kawaida
OVA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom