Siri za Lowassa zavuja Dodoma na Arusha

Siri za Lowassa zavuja Dodoma na Arusha

WamLola

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
343
Reaction score
122
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.

Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"

Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.
 
Team joka la mdimu kazi mnayo kwa kumhubiri Lowasa kila siku,cha kushangaza mods wa jf hawazivuti au kuziunganisha threads za Lowasa kama wanavyofanya kwa Zitto Kabwe!!!!!
 
ina maana kule misikitini alikua anapigiwa chapuo kwenda na mkulu?
 
sisi kina gogo la shamba tulikwishasema baada ya yote kushindikana dhidi ya Luwasa tutakuja kuambiwa kwamba Luwasa si mtanzania ni mkenya au mganda
 
Lowasssa siri zako hazina siri,timu yako imejaa mamluki.
 
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.

Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"

Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.

dah... mkubwa anawasumbua kweli wanawe, maana kila uchao wanarusha threads humu, naona hadi 2015 july watakua wameshakua typing specialists

wambea.jpg
 
"simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa".
Mkuu Wamlola, kwanza asante kwa hii, common sense logic, inaniambia huu ni uongo na uzushi ila wenye malengo!, (ill motive!", na kuna mwana jf mwingine nae pia alipondisha threads kadhaa za maoungo na mauzushi kama haya!, sasa mimi kazi yangu ni kushauri tuu!,

Kama haya uliyoyasema ni kweli yametokea ni ni yeye aliyeutunga msamiati huo, then sorry kuuita ni uongo na uzushi!,

Lakini kama kweli ni uongo na uzushi kwa nia fulani, then muogope Mungu!, kuna kitu kinaitwa "karma!" hakina mswalie Mtume!, what goes around, comes around na malipo ni hapa hapa duniani!.

Ila pia politics is a game of strategies, kama unazijua strategies zilizomuingiza JK ikulu, utakuwa unanielewa nina maanisha nini, sasa kama hiyo ni kauli mbiu ya wapenzi, wafuasi na washabiki wake, and he has nothing to do with it, then be it!,
"simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"
Pasco
 
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.

Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"

Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.
Membe hauchoki kumwandama Lowasa ? Sasa angalia Vijana wako wanakuja na Hoja zisizo na Mashiko , hampati Usingizi juu ya Lowasa mpo busy kwa saa 24 mkitunga Uongo,Uzushi na Uchonganishi huku membe mwenyewe akiwasaka wanasiasa njaa na kuwagawia Pesa zile za Gadafi alizokwapua kisha anawashika Akili na kuwachochea ili wamwandame Lowasa, kwa bahati nzuri Wananchi wa sasa si wajinga wanajua Mchezo wote wa Membe na kamwe hatafanikiwa hata amchafue vipi Lowasa bado membe hapandi chati licha ya kikundi chake kumlia pesa na kumpa Matumaini feki.
 
dah... mkubwa anawasumbua kweli wanawe, maana kila uchao wanarusha threads humu, naona hadi 2015 july watakua wameshakua typing specialists

View attachment 189013
Pesa anayotumia Membe kumchafua Lowasa ni bora angeielekeza kijijini kwao kujenga Hosptal , shule,barabara na kuweka mabomba ya maji , kuboresha huduma zote jimboni kwake, hizo pesa za Gadafi asizitumie kuwanunua watu ili wamchafue Lowasa , kumbuka ni wengi wametangaza Nia ya Kiwania Urais, iweje Membe amwandame Lowasa pekee ? Hapa Tz Hakuna aliye msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole, kila mmoja ana Madhambi yake. Membe ulitegemea kupanda chati kupitia Mgongo wa Lowasa ,sasa mambo yamekuwa kinyume watu wanazidi kukushusha thamani zaidi hata ukigombea Udiwani hupati, watu watakula Rushwa yako lakini Kura hupati, membe hizo pesa nenda kawasaidie masikini na omba omba wajikwamue jaribu kumwiga mshirika wako Mzee mengi.
 
Huu mladi wa membe sasa umeelekea kuishiwa Umbea na majungu sasa wanabaki kubuni buni cha kuwadanganya wale wenye upeo mdogo, lakini watu wenye Akili zao wameshabaini mbinu zote za membe sasa wameamua kumpuuza.
 
mi sijaelewa kwa hiyo ni kweli au si kweli kuwa anakutana na rais kila wakati? ninyetisheni tafadhani
 
sasa kwani kutengeneza kauli mbiu ina shida gani...yaani kuna usiri gani kwenye kutengeneza kauli mbiu..kuna siri gani imefichuka hapo..
 
Back
Top Bottom