liverpool 1
Member
- Oct 13, 2014
- 79
- 11
Mwisho wa siku mtasema hata ridhiwani kikwete nae anataka urais ss
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.
Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"
Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.
Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.
Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.