Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
sasa kwani kutengeneza kauli mbiu ina shida gani...yaani kuna usiri gani kwenye kutengeneza kauli mbiu..kuna siri gani imefichuka hapo..
Nadhani kuna mambo ya kishirikina kwenye hizi kauli mbiu
sasa kwani kutengeneza kauli mbiu ina shida gani...yaani kuna usiri gani kwenye kutengeneza kauli mbiu..kuna siri gani imefichuka hapo..
mi sijaelewa kwa hiyo ni kweli au si kweli kuwa anakutana na rais kila wakati? Ninyetisheni tafadhani
Membe hauchoki kumwandama Lowasa ? Sasa angalia Vijana wako wanakuja na Hoja zisizo na Mashiko , hampati Usingizi juu ya Lowasa mpo busy kwa saa 24 mkitunga Uongo,Uzushi na Uchonganishi huku membe mwenyewe akiwasaka wanasiasa njaa na kuwagawia Pesa zile za Gadafi alizokwapua kisha anawashika Akili na kuwachochea ili wamwandame Lowasa, kwa bahati nzuri Wananchi wa sasa si wajinga wanajua Mchezo wote wa Membe na kamwe hatafanikiwa hata amchafue vipi Lowasa bado membe hapandi chati licha ya kikundi chake kumlia pesa na kumpa Matumaini feki.
Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.
.
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.
Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"
Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.

Kati ya ikulu na muhimbili lazima muangalie huyu aende wapi
lowassa na mbio zakela uraisiNdg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.