Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Rais gani aliwahi kuingia madarakani kwenye nchi za Africa kwa kutumia pesa zake? Ni either pesa chafu ama pesa za wahisani amabazo mwisho wa siku zinaongeza madeni kwa taifa
Mchumi wa halmashauri? Huyu ni mtumishi wa umma! Achunguzwe na kuchukuliwa hatua.
Hiyo namba inasoma ni ya Malanyingi Matukuta message inakwenda kwa Bashe....
Je huyo Malanyingi ndio Bashe?? Na je 0762 047686 ni namba ya Bashe???
Kama Malanyingi sio Bashe na hii sio namba ya Bashe....hiyo meseji ilifikaje kwa Matukuta?.?
Isije kuwa ni sanaa tu inaendelea kunogesha mpambano ndani chama lao!!!!
Mkuu MTAZAMO mbona unatoa hoja kama wewe siyo mtu wa jukwaa la siasa za Tanzania?.Mchumi wa halmashauri? Huyu ni mtumishi wa umma! Achunguzwe na kuchukuliwa hatua.
Hiyo namba inasoma ni ya Malanyingi Matukuta message inakwenda kwa Bashe....
Je huyo Malanyingi ndio Bashe?? Na je 0762 047686 ni namba ya Bashe???
Kama Malanyingi sio Bashe na hii sio namba ya Bashe....hiyo meseji ilifikaje kwa Matukuta?.?
Isije kuwa ni sanaa tu inaendelea kunogesha mpambano ndani chama lao!!!!
Ngoja apitishwe na Chama chakavu halafu uje utuambie haya unayosema leo kama si kula mitapishi yako.
Wamwandalia akutane na Mwenyeviti Chama nchi nzima kuanzia na Mbeya!
Ni nani aliyetumia pesa safi?lowassa ni mchafu na anatumia pesa chafu kusaka madaraka
Mkuu basi ukweli uko wazi..haka kajamaa kanajiita Matukuta huwa ni mtu wa kupenda kick sana na ni bingwa wa kujipendekeza na kujifanya yuko karibu na watu flani.Niliwahi kuwanaye huko FB kipindi hicho akiandika status tu anaweka picha kavaa kijani yao na kukopi viongozi na wabunge wa chama chao so naamini ni yeye ndo kaileta humu kwa akaunti mpya ambayo hii ni post yake ya kwanza ili aanze kujipendekeza kwa EL.Mchumia tumbo huyu anajitanabaisha kuwa na yeye i sehemu ya ufedhuli wanayoita matumaini
Kabisa safari ya mataini hakuna kurudi nyuma. Tunasonga mbele pamoja
EL hawezi kuwa rais wa TZ isipokuwa atashawishi na atakuwa na mkono kwa kiongozi ajae