McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Hebu tuwekee na wakati wanapokanda unga tafadhali...
Kaka nina mwaka wa kumi sasa sijawahi kula mkate, mpaka mke wangu na watu wengine wananishangaa. Siri ninayo moyoniHaaahaa utaacha kula mikate kaka jifariji na hapo kwanza
Kaka nina mwaka wa kumi sasa sijawahi kula mkate, mpaka mke wangu na watu wengine wananishangaa. Siri ninayo moyoni
Hebu tuwekee na wakati wanapokanda unga tafadhali...
Mkuu nong'ona wasisikie walaji, unataka biashara za watu zidode...Naskia wanakanda kwa miguu...lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ila jamaa ni black hatari.