King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,873
- 69,115
Ushapitia Lumumba kuchukua buku mbili yako?
Na hoja zake zipo hivyohivyo......kama katumbukizwa kwenye kinyesi!!Mtoa mada kafanana na anvatar yake!!!
Viongozi wa Chadema kina Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Dr. Slaa..
Mnajifungia pale Kinondoni Makao Makuu ya Chadema siku mbili nzima..
Mnaandika na kupanga mnayotaka kisha mnakwenda nayo Ikulu, kisha mnasema mmetumwa na wananchi..
Watanzania wapenda amani hawajawatuma kwenda Ikulu, mmepeleka mawazo yenu..
Jaribu kupima unaweza kuwa mjamzito!
Wanabodi...
Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..
Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.
Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..
Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..
Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..
Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..
Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..
Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.
Ritz,
Hoja hii hawaijibu kabisa. Watakuja na matusi na kumvaa mleta hoja.
Maoni mliyatoa wapi? Chumbani.
Kwa kuongezea tu, Slaa aliona haya kwenda Ikulu. Zitto aliiponda akasema "nnaumwa" ntie nendeni tu. Hapo sasa!
Ritz,
Hoja hii hawaijibu kabisa. Watakuja na matusi na kumvaa mleta hoja.
Maoni mliyatoa wapi? Chumbani.
Kwa kuongezea tu, Slaa aliona haya kwenda Ikulu. Zitto aliiponda akasema "nnaumwa" ntie nendeni tu. Hapo sasa!
More like your last name huh?shut your buccal cavity
Nahisi aliyeandika hii habali akufikilia vizuri kaandika bila kufanya tafiti,watanzania tujifunze tuache ushe ushabiki kwenye masuala muhimu ya kuikomboa nchi yetu ,haswa swala ili la katiba
Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..