Siri yafichuka CHADEMA kuhusu Katiba ya nchi

We mleta mada hebu kaa tafakari kwa makini sana utagundua kuwa upeandika upumbavu. ukishindwa kuugundua upumbavu ulioandika niombe nitakufafanulia.

Kwa tamaduni zetu watanzania ukiona mtoto wa kike ana kauli kama hizi lazima atakuwa anafanya kazi Jaks Pup au Tandale hotel
 
Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..

ff elewa maana ya rasmu na hatua zake. Na mwananchi huwa anatakiwa kutoa maoni yake hatua gani
 
Hii nchi bora kuhama waliopo hawana busara ni wabaya wanaotaka
kuingia ndo kabisaaaaaaa matusi mbelembele kabla hawajafunguliwa
mlango. Siamini kama siasa itatukomboa nchi hii, wote sio salama!
 
You are wrong we bibi kizee, kwani CCM walimshirikisha nani,wale watoto wa chekechea aliowaleta Tambwe Hiza? Kwa taarifa yako, CDM knowswhat we people need in order to prosper, si km huyu ritz anayekurupuka kuandikaupupu simply ana posho za miaka 50 ya uhuru. Nasikia alikuwa kwenye mkeshaMbagala Zakhem.

Khaaa ! Kumbe
 
Back
Top Bottom