Siri Ya Wanajeshi Wa Obama

Hujasikia kuwa madaktari wanakufa huko mzee? Pia niliwahi sikia kuna madaktari wamegoma kwenda!

kama madaktari wa kiafrica wanagoma kwenda kuwatibu ndugu zao kwa nini wamulaumu obama kwa kuwasaidia?
 
waafrika kwa longo longo! sasa kwa nini hata tanzania hamjapeleka madaktari kuwasaidia waafrika wenzenu?

Wacha kuweweseka km mke aliyepewa talaka asie na pakwenda wewe!
Unawasifu wazungu kwa sababu wamekuoa?
Haya maliberali ya kiafrika nuksi sana.

Obama eee! Obama oooo! Peleka basi hayo makalio yako yenye upele kwa hao wanajeshi wake wakapunguze Manyege yao.

Nyambafff mmoja.
 
tuna uhaba wa madaktari tu au pamoja na uhaba wa akili?

Uhaba wa akili anao mzee wako wa kihutu.

Watanzani tuko fiti vibaya mno.
Linapotokea tatizo km hili Nchi kwetu huwa hatulilii wazungu km hao mama zako wa Liberia.

Km vipi urudi kwenu kwa Banyamulenge.
Nyambaf usie na shukran wewe!

Tumekuhifadhia mamako bure hapa Tz, leo unatuona hatuna Akili.

Nyamaff ni Nyamaff tu.
 
kama madaktari wa kiafrica wanagoma kwenda kuwatibu ndugu zao kwa nini wamulaumu obama kwa kuwasaidia?

Obama HASAIDII MTU WEWE!
Yeye mwenyeww anatafuta msaada wa kumridhisha mkewe! Saa ngapi ataweza kusaidia wengine?

Wakoloni wanapanga mambo yao ya kuzidi kumnyonya mtu mweusi, wewe umefunga kanga kiunoni unacheza mdundiko wa kuwasifia.

We nyonga kiuno mpaka asubuhi lkn Hupati bwana wa Ki TZ akatamani mwili mbovu wa Banyamulenge.
 
Wameenda kujenga vituo vya afya ila nadhan na maslahi binafsi lazima yahusike.
 
Mm Nilichojiuliza Ndo Nikaleta Huu Uz Ni Kwann Atumie Wanajesh,na Sio Madaktar hv Wanaosema Wanaenda Kujenga Hosptal Kwan Ebola Imebomoa Hosptal Na Zahanat?

ujue ebora ni ugonjwa ambao unahitaji wagonjwa wake kutengwa,sasa hosptl na vituo vingine vya afya vilivopo havtoshelez ndo maana wanataka kujenga vituo mahisusi kukabiliana na gonjwa hilo.
 

hebu nisaidie kumuelimisha, ndo maana serkali yako hutumia jeshi kwenye majanga,hupati shida kuwatafuta wala hutangazi tenda wao wakifika kazi inaanza
 

naunga mkono mkuu,ndani ya jeshi kuna kila idara ni kama nchi iliokamilika.kuna hosptl,zahanati,police,usalama,idara ya anga,navy,shule,wahandisi wa kila nyanja(wapo wengine wanajenga bomba la gesi mtwara), vyuo,zimamoto,mahakama,wanasheria,fundi umeme,bomba,wajenzi n.k
 
Minadhani kwakuhofia mapnduz amepeleka kumlinda Yule mama kwakuhofia wale mawaziri wake waliotokomea Na kulowea nje wasje wakalianzsha
 
Mm Nilichojiuliza Ndo Nikaleta Huu Uz Ni Kwann Atumie Wanajesh,na Sio Madaktar hv Wanaosema Wanaenda Kujenga Hosptal Kwan Ebola Imebomoa Hosptal Na Zahanat?

ni kawaida katika majanga yoyote dunian wanaotumwa mara nyinyi ni wanajesh, ata china walituma madaktar wa jesh..Kati ya hao 3000 kuna madaktar,mainjinia na wataalam mbalmbal kwa ajil ya kutoa huduma na kujenga hospital
 

Mkuu ndani ya jeshi kuna watu wa proffesion zote,kuna wanajeshi madaktari,wanasheria,mainjinia,walimu,so may be hao wanajeshi ni madaktari,kujisaidia wenyewe waafrika tumeshindwa,acheni waje wenye uwezo wa kutusaidia,waafrika hatuna jema,kama tuna uwezo basi tuyngane nchi za kiafrika tukapambane na hiyo ebola,in short haiwezekani coz kila mtu ni.mbinafsi,sasa tumwachie mmarekani akapambane na akishapambana ataondoka na diamond za kutosha tu kama ujira wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…