Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Acha chuki za kipuuzi wewe. Kuna wanajeshi ambao pia ni wataalam wa afya so Obama amewapeleka pale ili kusaidia kuzuia Ebola kwa mbinu zote za ikiwa ni pamoja na za kijeshi. Mmarekani angekaa kimya mngeanza kulalamika kwamba hatoi msaada kwa sababu Liberia hakuna mafuta. Amejitolea timu ya kusaidia mnaanza kubwabwaja upuuzi. Ungeenda wewe basi kutoa msaada
Marekani ni zawadi Dunia iliyopewa na Mungu. Dunia hii bila Marekani itaangamia ...
Mm Nilichojiuliza Ndo Nikaleta Huu Uz Ni Kwann Atumie Wanajesh,na Sio Madaktar hv Wanaosema Wanaenda Kujenga Hosptal Kwan Ebola Imebomoa Hosptal Na Zahanat?
.........ni nani mwenye nguvu za kuangamiza ambaye Marekani anamzuia asiiangamize Dunia !? Cynic
Marekani ni zawadi Dunia iliyopewa na Mungu. Dunia hii bila Marekani itaangamia ...
mi ni Katoliki lkn comment ya huyo jamaa ni. ya kijinga.Kuna watu hii coment hawataipenda japo ina ukweli ndani yake. Apa nawazungumzia wavaa suruali fupi
We ndio wale vibaraka mnaotetea wapuuzi wanaotuletea maradhi ya kila aina.
We kwa akili zako zilivyo ndogo unategemea Wamarekani watatoa msaada wa kibinaadamu Bila LENGO maalum Kwa Faida yao?
Hebu subiri sasa uone nini kitatokea huko Liberia.
Eti Mjaluo Obama asingejitolea Tungelalamika, we ndo shoga kweli kweli.
Ni watu km wewe ndio wanaotegemea misaada kutoka kwa Wauwaji km Americans.
Hao mbwa wa kimarekania wakikaa mbali na Bara langu la Africa NiBORA KWANGU kuliko kusogeza makalio yao ya Kiliberali Kwenye Ardhi yetu.
Km na wewe uko km wao Nenda kajiunge nao wakuwowe kabisa.
Mnxsssssssssss
Pumbavu zako
come on you 'Catholic' moron, facts are stubborn things .. hazibadilishwi kwa matusi
Nijambo zuri kuwatuma Wanajeshi maama nchi za Afrika hawaaminiki, waweza vamiwa na Mashabaabi.
Morons are the one who Worshipped a Whiteman like yourself.
Huna adabu wala akili.
Wakoloni wanakutawala wewe na bibi yako kiakili mpaka kesho.
Kuna watu hii coment hawataipenda japo ina ukweli ndani yake. Apa nawazungumzia wavaa suruali fupi
zillizopo hazitoshi na hazina usasa wa kuhimili ebola kaliMm Nilichojiuliza Ndo Nikaleta Huu Uz Ni Kwann Atumie Wanajesh,na Sio Madaktar hv Wanaosema Wanaenda Kujenga Hosptal Kwan Ebola Imebomoa Hosptal Na Zahanat?
Mnapenda siri aka conspirancy theory nyie, hadi mnatia huruma
Wanajeshi wa marekani sio kama wanajeshi wetu huku,hapo kuna kila taaluma japokuwa wapo pia planners wa kuhakikisha maslahi ya marekani humo humo. us hafai
waafrika kwa longo longo! sasa kwa nini hata tanzania hamjapeleka madaktari kuwasaidia waafrika wenzenu?
Sisi wenyewe tuna uhaba wa madaktari,pia huo ugonjwa sisi ni prone area pia. si unafahamu uwiano wa daktari mmoja kwa wagonjwa huko marekani??
tuna uhaba wa madaktari tu au pamoja na uhaba wa akili?