Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
eti gogo la kucharangia kyakyakyaaa ila si uungwana halafu huduma za hayo maofisi ya uma pamoja na kutafuna kodi zetu ni mbovu dunia yakatikati yaani unahangaishwa mpaka akili inachoka aiseeKuna watu hawana huruma na wananchi wenzao kama fisi vile ukiwakabidhi bucha watakula mpaka lile gogo la kucharangia.
Hivi Membe yupo? Anajishughulisha na nini? Maana hasikiki tena!
Vipi na lile jibu sugu la ESCROW? Ilifikia mahali watu wakadharau hadharani kuwa 1 billion ilikuwa ni hela ya mboga!!!! Sasa sijui karudi tena kuchukua hela ya unga au laah!!!!!
Sio maskhara ndugu yangu kuna watu walikuwa wanaishi utadhani sio tanzania hata mafua mtu anakwea pipa waqt huku uswazi juma nature anasema tunakomaa na head.eti gogo la kucharangia kyakyakyaaa ila si uungwana halahu huduma za hayo maofisi ya uma pamoja na kutafuna kodi zetu ni mbovu dunia yakatikati yaani unahangaishwa mpaka akili inachoka aisee
hahahaha sasa pipa wataona zikiwa transit tuSio maskhara ndugu yangu kuna watu walikuwa wanaishi utadhani sio tanzania hata mafua mtu anakwea pipa waqt huku uswazi juma nature anasema tunakomaa na head.
Bora iwe hivyo kuna mambo yanakera sana nchi hii.hahahaha sasa pipa wataona zikiwa transit tu
Nawapa pole maana kilichowatokea hata mimi kingeweza kunitokea, enzi za Kikwete kupiga ndiyo ulikua mpango mzima, ukiwa siyo mpigaji unaweza kupoteza wadhifa wakoWatumbuliwe tu, Tumeishachoka.
Hahahaha!Nawapa pole maana kilichowatokea hata mimi kingeweza kunitokea, enzi za Kikwete kupiga ndiyo ulikua mpango mzima, ukiwa siyo mpigaji unaweza kupoteza wadhifa wako
sijawahi kupata kitambulisha mwaka wa 2sasa nauliza kwanini wasingefanya kama vya kura? simlpe na gharama less...Duuh! Flora hii kali! Uko jirani nao kikazi nn?
Process yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakaeinua mdomo kusema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo atakapojua Watanzania wa Mwalimu Julius Nyerere ni kina nani hasa!sijawahi kupata kitambulisha mwaka wa 2sasa nauliza kwanini wasingefanya kama vya kura? simlpe na gharama less...
Process yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakayesema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo watakapojua Mwana ni nani hasa!sijawahi kupata kitambulisha mwaka wa 2sasa nauliza kwanini wasingefanya kama vya kura? simlpe na gharama less...
aiseeee jipu hiliProcess yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakayesema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo watakapojua Mwana ni nani hasa!
Miaka ileeee tunapata uhuru viongozi wengi hawakuwa wasomi ila walikuwa waadilifu mpaka nyerere akasema kuhusu madini yaacheni yakae hayata oza vijana wetu wakipata elimu watakuja kuyasimamia.Process yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakaeinua mdomo kusema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo atakapojua Watanzania wa Mwalimu Julius Nyerere ni kina nani hasa!
Can You imagine?!?! no inatakiwa raslimali zifaidishe wote. Tena wenye pesa si wana hayo macademy yao. Wananchi wanachotaka ni best free education na huduma za afya mambo megine kama chakula watajitafutia. Sasa hata hivyo vinashindikana haikubaliki. Mh. Magufuli kaza buti tuko pamoja na wewe !Miaka ileeee tunapata uhuru viongozi wengi hawakuwa wasomi ila walikuwa waadilifu mpaka nyerere akasema kuhusu madini yaacheni yakae hayata oza vijana wetu wakipata elimu watakuja kuyasimamia.
Leo hao wasomi ndo wanaingia mikataba mibovu kuliko mzee mangungo wa msovelo.
Pamoja na wewe!, labda kama unakataa kwa nje mpaka kwenye moyo wako. Lakini wengi wenu mnakataa kwa nje lakini ndani mmejaza "YES" kwa kila hoja
uko dunia gani ?
Alikotokea Huwezi Amini Atakwenda Kwa PilatoKisu kinakaribia kumaliza nyama kianze mfupa