jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza
na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
hata hapa nilipo nawaona wanaenda lunch hihihihiiiDuuh! Flora hii kali! Uko jirani nao kikazi nn?
aakaa labda wa mtaani kwenuha haa haaaaaaaaa! aaaaaaah!. Kweli dada zetu wote tutawabariki kwa kuwapatia jina la "Dada Huruma"
Linakaribia kuiva hiloMimi nashangaa kuna Jipu kubwa sana juu ya KATIBA MPYA kwani kama suala ni fedha nyingi zimetumika lakini ufanisi wake ni mdogo au hakuna kabisa vipi kuhusu KATIBA MPYA? kwani zimetumika fedha nyingi lakini katiba hakuna na huku huyo mtumbua majipu akikaa kimya ni vema akatuambia juu ya hili na atumbue jipu hili.
Huyu jamaa kazi anayo aisee...hahahahaha...Maimu kimemnukia aseee..MRC pale alinunua nyumba kadhaa
..yeye mwenyewe akajenga jumba zuri tu regent
..sasa akaimbe na bendi yake ya UTALII
Pamoja na wewe!, labda kama unakataa kwa nje mpaka kwenye moyo wako. Lakini wengi wenu mnakataa kwa nje lakini ndani mmejaza "YES" kwa kila hojaak
aakaa labda wa mtaani kwenu
sawa kaka huruma yaani unatuita hivyo kweli aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr sawa tuuPamoja na wewe!, labda kama unakataa kwa nje mpaka kwenye moyo wako. Lakini wengi wenu mnakataa kwa nje lakini ndani mmejaza "YES" kwa kila hoja
...hapo VICTORIA ?hata hapa nilipo nawaona wanaenda lunch hihihihiii
hahahah no comment...hapo VICTORIA ?
Mhhh!, umenigeuzia gia angani? sawa Dada Huruma!sawa kaka huruma yaani unatuita hivyo kweli aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr sawa tuu
...hahahahahahaha..nimekusomahahahah no comment
Uso wa nyoka asisahau kule Ngorongoro jipu linpakwa mafuta nimeiva sana litatumbuka wakati wowote Uso wa nyoka kuna sehemu nyingine yakutumbua inafanana na ngorongoro?Watumbuliwe tu, Tumeishachoka.
Ina maana vitambulisho vilikuwa vingi kuliko idadi ya watz waliohai hivyo ikabidi waanze kutengeneza wengine ili udadi ikidhi ile ya vitambulisho? Kweli hao ni wachapa kazi. Duuuuuuuuuuuu!jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza
na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
Binafsi taasis kama NIDA, RITA, ile inayo simamia mifuko ya hifadhi ya jamii (nasahau hata jina lake though mkuu wake nadhani anaitwa Iren Isaka), Ewura, na ile ya nauli za mabasi na meli (Nayo nimesahau jina lake) kwangu hazina umuhimu wowote zaidi ya kutafutiana ulaji na ajira tu with our own cost.Hizi taasisi nyingine zilikuwa za ulaji tu, RITA na NIDA zingeunganishwa ipatikane taa sisi moja tu, haya majipu yanakomaa kwa kuwa pesa nyingi kazi hakuna zinazofanyika hapo NIDA.
Kumbe umalijua hilo Mkuu? Ana kijiji huyu jamaa.huyu jamaa pale mikocheni makao makuu ya NIDA amewapangishia jengo lake halafu kanunua mtaa mzima hapo mikocheni na nimesikia ana majumba mengi
.....Tena nasikia kuna oda maalum ya udongo na ndimu toka supermarket kila wiki inapelekwa na bajaj
Kimeshanuka wataishia kukukopa.....
.......ha ha ha na Fuso la maembe ya Mto wa mbu ...ugwadu First class ....wanipe tenda !!!