Siri ya UDP na Nyumba Kubwa;

Siri ya UDP na Nyumba Kubwa;

Hizi ni sarakasi tu mwisho wa siku mfumo wa CCM hauwezi kuvurugwa na interest za watu wachache.
Magu atakabidhiwa chama na huyo huyo hawezi kukihama chama kirahisi...
 
Ina maana we unamlaumu JK kwa kukataa majina ya akina Lowassa? Ina maana unaungana na waliokuwa wanatafuna nchi?

Hata kama una akili kidogo tu, Lowassa hatumtaki kabisa huku. Na tumesikia ameandaliwa nafasi UDP.

Tuna mhitaji aondoke salama.
Ina maana Pinda, Jaji Agustino Ramadhan,Dr Gharib Bilal,Mwigulu Nchemba,Hamis Kigwangala,Augustino Mahiga nk nao walikuwa wanatafuna nchi? Hao nao majina yao yalikatwa!
 
Kuna waliojitokeza ila hawakutupa rupia kama jamaa yetu huyu. Hili halina ubishi kuwa kule CCM kulikuwa na neema sana mwaka jana mpaka sh. ilishuka thamani.
Ina maana Pinda, Jaji Agustino Ramadhan,Dr Gharib Bilal,Mwigulu Nchemba,Hamis Kigwangala,Augustino Mahiga nk nao walikuwa wanatafuna nchi? Hao nao majina yao yalikatwa!
 
Katibu Mkuu wa UDP Ndg Ole medee ni Spika wa Mioyo ya Wanachadema 2015 kumbe Mtu wa system. Kweli Lowassa hajui kutofautisha Marafiki zake na marafiki wa Pesa zake
 
Kwan imeandikwa wapi ma Dc lazima watoke uvccm?
Mleta uchochezi anataka atajiwe ma Dc watano toka uvccm,nao ni Hapi,mjema,nurdin,kippi,polepole
POLEPOLE ni RIKA moja na WARYOBA yule wa katiba mpya, baba yake na KIPPI,!
 
Kwan imeandikwa wapi ma Dc lazima watoke uvccm?
Mleta uchochezi anataka atajiwe ma Dc watano toka uvccm,nao ni Hapi,mjema,nurdin,kippi,polepole
Ukisikia ng'weeee ujue tayari !!!
 
Tulionywa mapema kuhusu buku 7 fc , kwa uwezo wa vijana wengi wa ccm ni vigumu sana kuelewa uzi huu , huyu jamaa kaandika kama malenga mzoefu .
Kweli kabisa mkuu tatizo letu lumumba b7 fc tumezibwa macho na tumbo. Njaa kali mkuu.
 
This is why I like politics. There is no coincidence in this game. But remember this rule, "the winner takes all"!!
 
Huu uzi ninauchangia maana umemtaja mbunge mh.Bashe ambae akikaza uzi anaweza kuvaa viatu vya mbunge machachari kipenzi cha watanzania hasa wanyonge asiejali itikadi wala msimamo wa chama chake bwana Filikunjombe.
Ninamuombea kwa Mungu mwenyeenzi amrehemu milele yote na ampe pumziko lenye faraja
 
Nawew janjaweed umefanywaje
Nimezidi kumvuruga mleta mada

Jamaa kaandika weeeeee.... kazunguka weeeeee... kichwa cha habari kiko UDP, habari yenyewe 80% uDC, mara akarudi kwenye kukatwa, halafu akakumbuka akina Malisa na Nchimbi halafu mwishoooo ndio akakumbuka kichwa habari na kukipatia one line tu ya mzigo mzima

#MchezoHuuHautakiHasira
 
Back
Top Bottom