Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz mr pombe
Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho wataalamu wa elimu nyota wanakuambia ni alama ya magenius yaani akili kubwaaz
Hali hiyo iliwafanya ma fans wa ze king of sosho midia kuuliza miguu vepeeee??yaani walikuwa wa me decode siri flani amazing.
Cheeers
View attachment 368296