Siri ya Serikali kuhamia Dodoma

Siri ya Serikali kuhamia Dodoma

Tamotepia Tata. Omonto ono noomkangi pokong'u na ni ilitune. Kwanini nchi masikini kama Tanzania iamue kuhamia Dodoma kwa sababu za karne ya 19? Kwani makao makuu kuwa katikati ndipo maisha ya watu yatakuwa mazuri au uchumi kukua? Sijawahi kuona viongozi wenye akili za kipimbi kama hawa wa Tanzania.

CC MWALLA
umuntu huno nyakwabho atubire
 
Mkuu hata angetawala akiwa ana lala nje bado anaongozwa na hao weupe, hujamsikia Kangi akikuambiaa masoga wako salama? Hujui bajeti ya taifa kuna hela ngapi za hao wazungu? Msimdanganye maana mnapo mdanganya anazidi kuharibu.
 
Habarini wapendwa,kila mmoja wetu anajua kuwa serikali mpka 2020 itakuwa imeshahamia mjii mkuu wa dodoma huku ikiacha maswali ya kwanini serikali ihamie dodoma na kuacha mji mzuri na wakisasa dar es salaam?

Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya awamu ya tano imeamua kuondoka Dar es salaam na kuhamia Dodoma ikiwa ni kujiimarisha kiutawala na hata kimaamuzi katika ngazi ya taifa na hata kimataifa.Nchi nyingi za afrika zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni na wakoloni kurudi makwao huku wakiacha hazina za mali ambazo watazimiliki hadi mwisho wa dunia,

Assets hizo ambazo nyingi ni majengo na ardhi kubwa,kupitia ardhi hizo na majengo hayo serikali nyingi za mabepari zimejikuta zikitutawala na hata kutofanya tulipe mamilioni ya kodi kwa ajili ya hizo assets.

Majengo mengi ya serikali ni mali za hawa mabepari,hivyo maeneo mengi nyeti wameyamiliki wao huku hati zao zikiwa zipo vatcan kwa papa kwa wale walotawaliwa na waingereza,hope hapa unaweza kupata picha kuwa ikulu ya waingereza ndiyo ikulu yetu ya leo hivyo,hata hati yake ipo vatcan kwa papa.

Huenda hata baadhi ya ikulu nyingine za afrika zikawa zinamilikiwa na hawa mabepari hivyo kufanya serikali hizo kuongozwa vile watakavyo wakubwa.

Hivyo kuona hilo mzee wa magogoni akaamua awaachie jumba lao huku akitawala kwa uhuru na kwa mamlaka yote kama raisi wa nchi na siyo mtumwa wa mabwana wakubwa.
Viva magufuli

Mzee! Hapana Bwana! Wakati Mwingine baki na mawazo yako usiwashirikishe wengine! Samahani lakini!
Kwanza Vatican Haijawahi kutawala koloni lolote Ulimwenguni!
Hati ya waingereza ikakae vatican kwa papa!?
Assets zao? Majengo haya bado wanayamiliki mpaka leo?
Haya ndugu!
 
Yah makubaliano yaliwekwa mkuu siye tuliyachukua hayo maeneo kama wapangaji tu tena walivyokuwa wajanja hawa waingereza hati zote zilikuwa zipo chini ya papa yeye ndo huzitunza rejea shule ya forodhani dar es salaam ambayo ilikuwa ni ya mission ila serikali ikaikodisha kutoka kwa hawa jamaa but mwisho wa siku ikawashinda wakaamua kuirudisha and now inaitwa st joseph,kwaiyo kuna majengo na mali nyingi sana hasa ofisi nyeti wanazimiliki mpka leo hivyo kupelekea kufanya wanavyotaka

Mkuu kumbuka Nyerere alilielewa hilo vema! Ndio Maana baada tu ya Uhuru JK alifanya Nationalization! Hapo ikawa ndio ukomo wa umiliki wa majengo,taasisi na mali mbalimbali za mashirika ya kigeni na ya watu binafsi.(ALITAIFISHA KILA KITU).
Labda wafungue kesi!😀
 
Yah makubaliano yaliwekwa mkuu siye tuliyachukua hayo maeneo kama wapangaji tu tena walivyokuwa wajanja hawa waingereza hati zote zilikuwa zipo chini ya papa yeye ndo huzitunza rejea shule ya forodhani dar es salaam ambayo ilikuwa ni ya mission ila serikali ikaikodisha kutoka kwa hawa jamaa but mwisho wa siku ikawashinda wakaamua kuirudisha and now inaitwa st joseph,kwaiyo kuna majengo na mali nyingi sana hasa ofisi nyeti wanazimiliki mpka leo hivyo kupelekea kufanya wanavyotaka
Uingereza na vatican wapi na wapi?Crap
 
Wewe ni mpubavu sana. Mazengo, Forodhani, Msalato, Rugambwa, na shule nyingi zilikuwa mali ya makanisa. Nyerere alizitaifisha baada ya Azimio la Arusha kama alivyotaifisha majumba mengi ya wahindi nchi nzima.

Mkapa ndiye aliyerudisha zile shule ingawa si zote. Hospitali kama KCMC na Bugando zilitaifishwa ila kwa sasa makanisa yana umiliki. Mambo ya kusimuliwa na wanywa gongo msiwe mnayaleta humu kuanzisha nyuzi kwa vitu msivyovifahamu. Huko Dodoma jengo la Waziri mkuu lilijengwa na wajerumani na kuna uhusiano gani kati ya Mwingereza na Papa wakati Mwingereza ana dhehebu lake la Anglican. Wewe ni maskini wa kusoma na kufikiri.
 
Back
Top Bottom