Siri ya Serikali kuhamia Dodoma

Siri ya Serikali kuhamia Dodoma

sasa we machinga juzi mpango kasema umeshindwa kuchangia pato la taifa halafu bado unaunguza bando hapa na mawazo yako ya kizamani
 
Habarini wapendwa,kila mmoja wetu anajua kuwa serikali mpka 2020 itakuwa imeshahamia mjii mkuu wa dodoma huku ikiacha maswali ya kwanini serikali ihamie dodoma na kuacha mji mzuri na wakisasa dar es salaam?

Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya awamu ya tano imeamua kuondoka dar es salaam na kuhamia dodoma ikiwa ni kujiimarisha kiutawala na hata kimaamuzi katika ngazi ya taifa na hata kimataifa.Nchi nyingi za afrika zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni na wakoloni kurudi makwao huku wakiacha hazina za mali ambazo watazimiliki hadi mwisho wa dunia,
Assets hizo ambazo nyingi ni majengo na ardhi kubwa,kupitia ardhi hizo na majengo hayo serikali nyingi za mabepari zimejikuta zikitutawala na hata kutofanya tulipe mamilioni ya kodi kwa ajili ya hizo assets.

Majengo mengi ya serikali ni mali za hawa mabepari,hivyo maeneo mengi nyeti wameyamiliki wao huku hati zao zikiwa zipo vatcan kwa papa kwa wale walotawaliwa na waingereza,hope hapa unaweza kupata picha kuwa ikulu ya waingereza ndiyo ikulu yetu ya leo hivyo,hata hati yake ipo vatcan kwa papa.
Huenda hata baadhi ya ikulu nyingine za afrika zikawa zinamilikiwa na hawa mabepari hivyo kufanya serikali hizo kuongozwa vile watakavyo wakubwa.
Hivyo kuona hilo mzee wa magogoni akaamua awaachie jumba lao huku akitawala kwa uhuru na kwa mamlaka yote kama raisi wa nchi na siyo mtumwa wa mabwana wakubwa.
Viva magufuli
Story za Kwenye vijiwe vya kahawa
 
ulikua unatafuta namna ya kusema "viva magufuli" zingine mbwembwe tu. btw asante kwa chai
 
tpaul
 
Wee mtu ni Muongo sana bila Shaka itakuwa ni mwalimu wa History wewe ....naomba niishie hapo tu!!
 
Upuuzi huu umekupa like moja tu !!!
 
Wakoloni walimiliki mashamba makubwa,hati zake ziko hapa na zinafutwa na nyinginezo zinalipiwa kodi na serikali hii hii,kwa nini hizo sababu zako hazisemi hati za maelfu ya mashamba?!
Gharama ya hati na kuhamia dodoma ipi kubwa?! Vipi na reli ya wajerumani nyaraka zake tunalipa kodi wapi?!

Propaganda ya kipumbavu sana!!
Fikra finyu zilizobabwa na wakoroni, unadhani ni kipi bora,
Kujitangazia uhuru, wakati bado mnatawaliwa na kufanywa watumwa wa fikra, huku bado mliyo yakataa au mliyo wakataa wakiendelea kufanya yele yele mliyo yakataa nanyi huku mkijiita nchi huru?
Au
Kutumia gharama nyingi, lakini kuwa na uhuru wenu kamili huku mkifaidi matunda yenu ya uhuru bila bugudha wala karaha Hata kama machache!?
 
Sababu ziko mbili 1.Dodoma ni katikati 2.Kiulinzi-Ni vigumu kushambuliwa na adui huu ullikuwa mtizamo wa Nyerere
 
Si kwamba mkulu ameona akikaa Daslam naye ataitwa 'mwanaume wa Dar'??
 
Mali za Waingereza,......Hati zake zinatunzwa na Papa huko Vatican! Are you serious?

Bora angesena Anglican huyu naona ni mtu asiyejua mambo kashindwa kutudanganya. Halafu ukute ni graduate asiye na ajira kada wa ccm. Ndio tatizo linaongezeka zaidi
 
Kwaiyo unataka kutuambia hata hizi nyumba zilizokuwa Msajiri wa majumba baadae NHC nazo nazo tumezichukua kama wapangaji mkuu? By the way serikali iwe ya mkoloni, iwe chini ya CCM na hata ikitokea kuwa chini ya ACT Maendeleo, bado mali zitaendelea kuwa za serikali hasa ukizingatiwa majumba mengi unayoyazungumziwa kuna ambayo yalikuwa yanamilkiwa na serikali ya mkoloni hivyo alivyoondoka mkoloni haimaanishi aliondoka na serikali bali ilibaki serikali chini ya Mtanganyika.

Pia kuna mali zingine za serikali zilipatikana kwa mfumo wa kuzichukuwa kupitia Azimio la Arusha na kuwa mali za serikali na baadhi ya mali hizo ni kama mashule pia na ndio maana kuna baadhi ya shule serikali iliamua kuwarudishia wenyewe ama kugawiwa watu wengine kutokana na mchango wao wa kuelimisha jamii mfano Mazengo Secondary pale Dodoma ilitolewa na kuwa Chuo Kikuu, pia Magamba Secondary kule Lushoto pia hivyo kupewa watu wengine hizo shule haimaanishi zilikodiwa

Mkuu usimalize nguvu zako bure kwenye huu upuuzi.
 
Habarini wapendwa,kila mmoja wetu anajua kuwa serikali mpka 2020 itakuwa imeshahamia mjii mkuu wa dodoma huku ikiacha maswali ya kwanini serikali ihamie dodoma na kuacha mji mzuri na wakisasa dar es salaam?

Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya awamu ya tano imeamua kuondoka Dar es salaam na kuhamia Dodoma ikiwa ni kujiimarisha kiutawala na hata kimaamuzi katika ngazi ya taifa na hata kimataifa.Nchi nyingi za afrika zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni na wakoloni kurudi makwao huku wakiacha hazina za mali ambazo watazimiliki hadi mwisho wa dunia,

Assets hizo ambazo nyingi ni majengo na ardhi kubwa,kupitia ardhi hizo na majengo hayo serikali nyingi za mabepari zimejikuta zikitutawala na hata kutofanya tulipe mamilioni ya kodi kwa ajili ya hizo assets.

Majengo mengi ya serikali ni mali za hawa mabepari,hivyo maeneo mengi nyeti wameyamiliki wao huku hati zao zikiwa zipo vatcan kwa papa kwa wale walotawaliwa na waingereza,hope hapa unaweza kupata picha kuwa ikulu ya waingereza ndiyo ikulu yetu ya leo hivyo,hata hati yake ipo vatcan kwa papa.

Huenda hata baadhi ya ikulu nyingine za afrika zikawa zinamilikiwa na hawa mabepari hivyo kufanya serikali hizo kuongozwa vile watakavyo wakubwa.

Hivyo kuona hilo mzee wa magogoni akaamua awaachie jumba lao huku akitawala kwa uhuru na kwa mamlaka yote kama raisi wa nchi na siyo mtumwa wa mabwana wakubwa.
Viva magufuli

Mods huyu apigwe ban...ametumalizia bando na kutupotezea muda....
 
Haaaa hakuna cha maana ulichoandika kwa kweliii ni porojo tu za watoto
 
Hata hivyo umejaribu.

Sababu moja wapo ya kitaalamu ni kupunguza gharama na kurahisifa utendaji wa serikari kwa maaana itakuwa karibu na mikoa yote.

Vile cile Dar es salaam sio salama sana. kwa maana ya msongamano wa magari watu na nyumba kuna ucheleweshwaji wa shughuli za serikali.

Nk.
 
sasa we machinga juzi mpango kasema umeshindwa kuchangia pato la taifa halafu bado unaunguza bando hapa na mawazo yako ya kizamani
Tamotepia Tata. Omonto ono noomkangi pokong'u na ni ilitune. Kwanini nchi masikini kama Tanzania iamue kuhamia Dodoma kwa sababu za karne ya 19? Kwani makao makuu kuwa katikati ndipo maisha ya watu yatakuwa mazuri au uchumi kukua? Sijawahi kuona viongozi wenye akili za kipimbi kama hawa wa Tanzania.

CC MWALLA
 
Back
Top Bottom