sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,302
Mkuu hii habari ameitoa gazeti la Mwananchi.......Hivi unajua kuwa wasomaji wa upuuzi wako online ni wachache sana kuliko idhaniavyo?? Uko bize kufungua uzi zisizo na mashiko wala ushahidi, tumia magazeti ya kuchapisha angalau utawafikia watu kadhaa ingawa bado watakupuuza.