Siri ya nguvu ya kiume!

😃😃😃Inabidi uzingatie na lishe la sivyo hali itakuwa mbaya
 
Bao 8 ☕️ ☕️
 
Kwanza tujue umri,maana hata mtoto mwenye umri wa miaka 11 kushuka chini hawezi kupiga hizo 6 au 7 sembuse wewe wa miaka 30 plus?au bao unazosema wewe ni zipi?waue niza mapenzi hisia
 
Mkuu umesahau kundika bei ya dawa unazokula na kuuza

Eti bao 8, we pumbu kwel
 
Hutegemea kila mtu na afya yake.
 
Mimi uwa kuna manzi nikiwa naye uwa napiga show hata goli 7 au nane usiku mmoja ula wengine uwa hazizidi tatu uwa najiuliza sana ni kwann nikikutanaga na huyo dada nakuaga na nguvu za ajabu sana cha kushangaza kuna madem wengine unakuta hata goal
 
Niliwahi kupiga BAO 12 kuanzia asubuhi saa 5 Hadi usiku saa mbili usiku ..Nilipoteza uwezo wa kuona vizuri kwa Siku kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…