Kaka maasai
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 108
- 275
😂😂😂😂 Kwahiyo jamaa anatuuza tu si ndy maana yake
Hizo stori labda kwa watoto wadogo. Chezea bao 7, utakojoa upepo.😂😂😂😂 Kwahiyo jamaa anatuuza tu si ndy maana yake
Madawa bei gani bro, tusimamishe minaraMimi pia hupika supu ya asili na changanya na madawa ya asili
saba au nane mzee siyo kweli kwa usiku mmoja acha kudanganta na kuwatia hofu watu kwa vitu visivyo na uhalisia. mana baada ya 3tu au 4 unaanza kutoa upepo na vitone tone hata ukitumia mitishamba bado utasanda tu utaishia kuchoka tu na usipate hata ilo la 6 au 7 kwa huo usiku. ivi huwa mnaichukuliaje iyo shughuli?Mimi huwanikianza gemu sichoki naweza kupiga hata bao saba au nane ikiwezekana. mm kivyangu nimezoea kula vyakula vya asil huwa sili vyakula vya kisasa hata kidogo. na kitu kingin usipende sana vyombo vya moto.jaribu hata uwe unatembea kias kufanyisha mwili mazoezi.
Ok 🐒Mimi huwanikianza gemu sichoki naweza kupiga hata bao saba au nane ikiwezekana. mm kivyangu nimezoea kula vyakula vya asil huwa sili vyakula vya kisasa hata kidogo. na kitu kingin usipende sana vyombo vya moto.jaribu hata uwe unatembea kias kufanyisha mwili mazoezi.
Aende direct kwenye biasharaMadawa bei gani bro, tusimamishe minara
Kwa masaa 24 inawezekana kabisa bao Saba ingawaje unachoka sana na pia kuanzia bao la 4 kwenda mbele utatoa vimaji kidogo sanaHizo stori labda kwa watoto wadogo. Chezea bao 7, utakojoa upepo.
kawaida sana hiyo gentleman,saba au nane mzee siyo kweli kwa usiku mmoja acha kudanganta na kuwatia hofu watu kwa vitu visivyo na uhalisia. mana baada ya 3tu au 4 unaanza kutoa upepo na vitone tone hata ukitumia mitishamba bado utasanda tu utaishia kuchoka tu na usipate hata ilo la 6 au 7 kwa huo usiku. ivi huwa mnaichukuliaje iyo shughuli?
Naunga mkono hojasaba au nane mzee siyo kweli kwa usiku mmoja acha kudanganta na kuwatia hofu watu kwa vitu visivyo na uhalisia. mana baada ya 3tu au 4 unaanza kutoa upepo na vitone tone hata ukitumia mitishamba bado utasanda tu utaishia kuchoka tu na usipate hata ilo la 6 au 7 kwa huo usiku. ivi huwa mnaichukuliaje iyo shughuli?
endeleeni kutafuta soko la viagra ila siyo kwa gia hii mtaua watu aisee hayakawaida sana hiyo gentleman,
unless unachangamoto ya kiafya au umri tayari umekutupa mkono 🐒