Mkuu umenikumbusha hili tatizo lilishamkumba Tyler Perry (ambae studios zilikuwa zinataka kubalisha movies zake na zilimwambia movies zake ni tofauti na wenyewe walivyotaka..) ila jamaa hakukata tamaa wala hakubadilisha mfumo wake bali alianzisha studio yake na kutoa movies zake mwenyewe.. (kwahiyo labda swali lije kwenye ugumu wa kusambaza movie mwenyewe na ku-promote mwenyewe bila kutegemea wasambazaji) nina uhakika ugumu utakuwa mwanzo tu ila ukishajenga jina watu watakufuata.., pia word of mouth na trailers za hapa na pale zinaweza zikakusaidia kwenye promo..; labda swali gumu zaidi hivi low budget movie kwa Tanzania na kwa kutumia unknown actors inaweza ikagharimu kiasi gani hadi mtu ushindwe kutoa kitu bila kushirikisha mdosi ?kwa mfumo
wa soko la filamu Tanzania kama utafuata weledi kwa kiwango kikubwa unaweza
usitengeneze filamu, labda tamthilia kwa kuwa hazihitaji fadhila za wahindi kuzisambaza.
hivyo kwa mfumo huu unatufanya baadhi yetu kutupwa nje ya soko. Nimeshaandika script
kadhaa kwa soko la Bongo na hata kwa soko la nje,
Ni kweli hili ni tatizo ila nadhani cha maana ni mtu ukikosa Director anayekubaliana na wewe kwanini usivae kofia ya Director pia, na kupunguza gharama kwanini usitumie unknown actors ambao ni bei nafuu au uchukue watu wanaochipukia na kuingia mkataba wa kuwalipa baada ya mzigo kuingia sokoni na wewe kupata faida ?ila bahati mbaya sana kwa product
za Bongo (Bongo Movie) nyingi huwa ni tofauti sana na script yenyewe. Hii ni kwa sababu
mwenye kui-transform script into movie ni director ambaye inategemea weledi wake au angle
atakayoitumia katika kuitafsiri script into movie.
Ni kweli usemayo ila niliona interview moja ya Samuel Jackson akasema yeye huwa anaangalia script na anakwenda kuifanyia kazi na kurudi na kushauriana na mtunzi/director kuhusu hiyo script husasan kwenye Dialogue yeye mwenye hupenda kuweka maneno yake na kuboresha kwahio nadhani cha muhimu nadhani ni kwa director; script writer na actor wote kufanya kazi pamoja mwanzo mpaka mwisho kwa kukubaliana sio kila mtu kufanya kazi kivyake.Kama script haitakuwa mzuri hata filamu haiwezi kuwa nzuri
kabisa, hii inamaanisha kuwa kwa script mbovu hata ukimleta muigizaji mzuri duniani hawezi
kucheza katika kiwango tulichozoea kumuona akicheza.
Hapana mkuu mimi hapa kama mtazamaji wa movies ninahuzunika kwa ukosekanaji wa movies bora wakati kuna stories nyingi sana zinazoweza kutumiwa hapa nchini.., na sababu umeshafanya kazi kama Director, na umeshaandika Script nakushauri utoe kazi yako ambayo utadirect mwenyewe sababu hapo utapata kitu ambacho kitakuwa bora na kama wewe unavyokitaka..., mwanzo mgumu naukishajenga jina zaidi hata usambazaji utakuwa rahisi tu..., by the way siku ukitoa kitu ni PM nitakwenda dukani kununua na kukuunga mkono.., pili tumieni pia vitu kama Youtube kujipromote wakuu huwezi kujua huenda kazi yako akaiona jamaa ambae akakupa kazi zaidi..,Sasa nikirudi kwenye swali lako la msingi: kutokana na mfumo wa soko la sasa, ukweli sina
hata movie moja niliyowahi kuandaa lakini kuna movie nyingi ambazo niliandika script au
kufanya kazi kama consultant, sound expert au director. Sasa sijui unahitaji kuziona filamu
zilizotokana na script nilizoandika au unahitaji kuziona script nilizoandika?...
Mkuu umenikumbusha hili tatizo lilishamkumba Tyler Perry (ambae studios zilikuwa zinataka kubalisha movies zake na zilimwambia movies zake ni tofauti na wenyewe walivyotaka..) ila jamaa hakukata tamaa wala hakubadilisha mfumo wake bali alianzisha studio yake na kutoa movies zake mwenyewe.. (kwahiyo labda swali lije kwenye ugumu wa kusambaza movie mwenyewe na ku-promote mwenyewe bila kutegemea wasambazaji) nina uhakika ugumu utakuwa mwanzo tu ila ukishajenga jina watu watakufuata.., pia word of mouth na trailers za hapa na pale zinaweza zikakusaidia kwenye promo..; labda swali gumu zaidi hivi low budget movie kwa Tanzania na kwa kutumia unknown actors inaweza ikagharimu kiasi gani hadi mtu ushindwe kutoa kitu bila kushirikisha mdosi ?
Sipingani sana na wewe ingawa wakati nasomea masuala ya uandishi wa scriptNi kweli usemayo ila niliona interview moja ya Samuel Jackson akasema yeye huwa anaangalia script na anakwenda kuifanyia kazi na kurudi na kushauriana na mtunzi/director kuhusu hiyo script husasan kwenye Dialogue yeye mwenye hupenda kuweka maneno yake na kuboresha kwahio nadhani cha muhimu nadhani ni kwa director; script writer na actor wote kufanya kazi pamoja mwanzo mpaka mwisho kwa kukubaliana sio kila mtu kufanya kazi kivyake.
Mkuu, labda tutafute focus maana tumekuwa tukiongelea vitu vingi mno,
ungependa tujikite kwenye kuangalia nini? ...
Mwisho, labda niweke wazi, binafsi waliotengeneza hii kazi ni rafiki zangu,
nimeshafanya nao kazi, pia nilikuwa na mkataba nao wa script ambao umekwisha
December 31, 2012, na sasa niko huru lakini kuna kazi nyingine tumekubaliana kufanya
baadaye mwaka huu kama Mungu akipenda na kama tutafikia makukubaliano. Haya
ninayoyachangia humu huwa nawaeleza hata wao wenyewe physically, bila unafiki wala
kuongopeana na wao huwa wananipa ufafanuzi, na mwisho wa siku tunamaliza mjadala...
Mkuu na wewe umefikia wapi kwenye michakato yako? Mimi nimesitisha kwanza ule mpango nikisubiri baadhi ya mambo kuwa sawa. Hii haimaanishi kuwa siruhusiwi kukosoa kazi za sanaaKwanza niwatake radhi wanajamvi kwa kupotea kwangu na kuwaachia mjadala, mniwie radhi sana sidhani kama mmetafsiri kuwa nilikula kona!
Nimekuwa na matatizo makubwa sana ya kiafya ila Mungu ananipigania, nawashukuru wote ambao mmetoa michango yenu na sana wale wanaofuatilia tamthiliya hii na kuunga mkono vipaji vya watz wenzetu ambavyo soko la kijinga limekuwa limevificha sijui kwa maslahi ya nani!!
Mkuu wangu Bishop Hiluka, sihitaji tufocus kwenye kukosoa hii kazi japo nakiri kuwa kuna mapungufu fulani kama ulivyotolea mfano kuwa hata kazi makini kiasi gani lazima itakuwa na mapungufu hata kama ni 0.005% ka 100%.
Ninachotamani kusikia ni kama hapa chini ulivyosema na kueleza.
Hayo maneno hapo juu yameusuuza mtima wangu na kububujika kwa furaha isiyo kifani kuwa sisi watz ni tunaweza sana, na aje mwingine aseme miradi yake aliyoshiriki wapi amefikia kikwazo ni nini halafu tupeane mawazo.
Hoja hapa ni kuwa positive katika kazi kubwa tulizo na uwezo wa kuzifanya sisi kama sisi pamoja na kushirikiana na dunia nyingine hata kama ni Mzungu au Kaburu......
Mheshimiwa Raia Fulani kuna kipindi alikuwa na mipango ya kuzama kwenye tasnia, basi na yeye aseme amefanya nini amefikia wapi alikutana na nini na mambo mengine kama hayo....
Hizi mbwembwe za kutaka kukosoa kila kitu na kutafutiza vimakosa kwenye kazi ambazo ni dhahiri kuwa watu wameonyesha umakini, matokeo yake ni kuyumbisha mashabiki na vijana wanaotaka kujifunza sanaa ya filamu.
Nafarijika kwa hatua unazopitia Mkuu Bishop Hiluka, na nashukuru mara nyingi nafuatilia harakati zako pale unapotushirikisha, ndio maana hadi leo sijasahau ule mjadala wetu wa Swahiliwood na leo tunaona matunda yake kama ulivyoahidi.
Na hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa naamini miongoni mwa watu wenye mawazo makubwa!
Naam this is what am talking about.., sasa kwa kuweka hii kitu online (kwa episodes za mwanzo au kuchombeza mmefanya jambo la maana ili ambao hawajaona waone ni nini mnaongelea) ngoja niiangalie kwanza taleta comments baadae
Siri ya Mtungi Sehemu ya 1 (with English Subtitles) - YouTube
Mkuu na wewe umefikia wapi kwenye michakato yako? Mimi nimesitisha kwanza ule mpango nikisubiri baadhi ya mambo kuwa sawa. Hii haimaanishi kuwa siruhusiwi kukosoa kazi za sanaa
Raia, mi sina mchakato wowte kwa sasa japo kwa baadae nafikiria ku-team up na Hiluka (japo sijafanya mawasiliano naye yoyote kwa sasa zaidi ya kwenye mijadala ya hapa jamvini) na au wadau wengine makini ili nije na mfumo wa usambazaji kwa kazi zote za sanaa, kwanzia Music na Filmu na kazi zingine za sanaa zitakazo kuwa zinasambazika kupitia mfumo huo!
jouneGwalu, hili nalo unalijibuje? Hebu cheki na hii link hapa
Hivyo hiyo sred inawakilisha kundi fulani la wanafiki tu katika jamii yetu ambalo nahofia linaweza kuwa kubwa na kwa kiasi fulani ndio limefanya tasnia yetu kuwa hivi ilivyo na bado wanalalamika ila makwao wamejaza maCD ya wakina Hemed wakinyonyana ndimi na wakina Wolper......
Unafiki!
Mbona hicho cha kwenye hiyo sred kimesemwa hata kwenye hii sred yetu bro??
Au ulitaka kunionyesha nini kwenye hiyo sred?
Kwa uzoefu wangu finyu wa tamthiliya zenye viwango barani afrika, bado sijaona tatizo la "picha chafu" kwenye "Siri ya Mtungi"......
Hivyo hiyo sred inawakilisha kundi fulani la wanafiki tu katika jamii yetu ambalo nahofia linaweza kuwa kubwa na kwa kiasi fulani ndio limefanya tasnia yetu kuwa hivi ilivyo na bado wanalalamika ila makwao wamejaza maCD ya wakina Hemed wakinyonyana ndimi na wakina Wolper......
Unafiki!