Siri ya Miujiza ya Mchungaji toka Uganda

Mkuu invisible, nahisi forumn ya dini imekubwa na mafuriko hasa siku ya leo. nasema hivi kutokana hoja za jukwaa hilo kuvamia majukwaa mengine, mfano thread hii na ile ya Tanzania inadini. Thread hii kama ilivyo, iliwekwa kwenye jukwaa la dini kipindi kile lipo wazi kwa kila mtu.

Napenda kuwashauri wana JF kuachana na masuala ya migawanyiko ya kidini, inasikitisha sana. Imefikia sasa hata tunapojadili hoja ya vifo Tabora na NSSF tunakuwa katika beleko za kidini. masikini sisi
 
Back
Top Bottom