Ng'egera
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 766
- 420
Wimbi la kukamatwa masheik na wengine kuuawa na watu wasiojulikana limeshika kasi duniani hususani tanzania ikiwa hivi juzi kukamatwa kwa sheikh MADUGA wa morogoro maarufu katika kipindi cha mwangaza kwa jamii radio imaan.
Tujiulize Kwanini Nchi Zenye Lasilimari Ambazo Haikupewa Uwekezaji Marekani Ndio Huwa Na Fujo Kupitia Mgongo Wa Waislam Katika Nchi Husika Basi Vitina Hizi Zinatengenezwa Na Mmarekani Ili Kujinufaisha Kiuchumi Kwa Kutumia Mtaji Mdogo Wa Wanajeshi Wake Kwa Kujifanya Anakuja Kulinda Amani Kumbe Anakuja Kuchukua Mali Ambazo Zitakua Hazina Mwangalizi Kwani Serikali Itakua Bize Na Wanaoleta Fujo Hilihali Wao Wanachukua Mali.
Mbinu Hii Ya Kukamata Masheikh Na Kuwaua Ndio Iliyotumika Nigeria Kutengeneza Kundi Feki La Bokoharam Ambalo Athali Yake Ni Kuiyumbisha Serikali Ya Nigeria Hivyohivyo Kwa Isis Iraq Mambo Yashaanza Hapa Tz Wanakamata Masheikh Wakati Huo Hao Waalibifu Katika Mgongo Wa Ardhi.
Marekani Washaunda Kundi Ambalo Litaonekana Linapigana Kuwatetea Masheikh Au Kulipiza Kisasi Cha Kuuawa Au Kwa Kukatwa Kwa Masheilkh Wetu Hili Jambo Linatakiwa Liangaliwe Kwa Macho Matatu Kwani Nchi Hii Muda Si Mrefu Itaingia Katika Machafuko Kwani Viashiria Vikuu Vishajitokeza
~MAWAZO HAYAPIGWI RUNGU mwenye masikio na asikie