Siri Ya Masheikh Kukamatwa Akiwemo MADUGA

Siri Ya Masheikh Kukamatwa Akiwemo MADUGA

napenda tujadili kwa hoja as great thinkers. na sio kwa maneno ya kitoto kama vile tupo fb! shame on you! kama uislam ni tatizo sema kwa reference na kama uislam una support terrorism onyesha ushahidi ili uelimishwe ...pitia blog hii. "what do they say about Muslim" pia ikiwa upo tayari kutanua fikra zako ili kuondokana na mawazo mgando ya kujisemea with no reference jitahidi kila ijumaa kununua gazeti la "Annuur" wale jamaa wanachambua vizuri mno masuala ya ugaidi unavyohusishwa na uislam...
nb: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK... pia ujinga wako usizidi busara zako...
Achana na kijarida " ALNUUR" kitazidi Kuku spoil, usiwe biased kiasi hicho, jibu kila hoja kadri inavyokuja, siyo kila terrorist ametengenezwa na Amerika au west, internal funding na support kwa terrorist organizations ni kibwa ndani ya Islam world, tazama jinsi uturuki ilivyo kimbilio LA ISIS na funding conduit.
 
Kila thread itakayohusu uislam au waislam lazima matusi yawepo kwa wingi.Je matusi ni mpango wa wamarekani kuchafua uislamu?

Kwa tanzania kesi nyingi waislamu ndio wahusika wakuu.Nenda mahakama za mwanzo kasikilize kesi za mirathi.Je ni mfumo kristo au wamarekani wanahusika?

Waliotakiwa kuwa njia ya mfano (mashehe),ndio wanaongoza kuhubiri uchochezi dhidi ya ukristo.sasa hivi wamehama kutoka kwenye mihadhara barabaran wako kwnye tv na radio za dini.je wamarekani wanahusikaje hapa?
 
Na kila penye vurugu duniani marekani ndiyo mfadhilo mkuu wa vurugu hizo,
Kwenye magazeti kila siku habari ni mapadri kuchukua wake wa waumini wao je ndiyo mafundisho ya ukristo???

Dar kuna natives wengi waislamu , je unategemea mirathi itakuwa ya watu wa dini gani, nenda mbeya au arusha mahakama ya mwanzo halafu tuletee jibu ulichokiona.
 
Wimbi la kukamatwa masheik na wengine kuuawa na watu wasiojulikana limeshika kasi duniani hususani tanzania ikiwa hivi juzi kukamatwa kwa sheikh MADUGA wa morogoro maarufu katika kipindi cha mwangaza kwa jamii radio imaan.Tujiulize Kwanini Nchi Zenye Lasilimari Ambazo Haikupewa Uwekezaji Marekani Ndio Huwa Na Fujo Kupitia Mgongo Wa Waislam Katika Nchi Husika Basi Vitina Hizi Zinatengenezwa Na Mmarekani Ili Kujinufaisha Kiuchumi Kwa Kutumia Mtaji Mdogo Wa Wanajeshi Wake Kwa Kujifanya Anakuja Kulinda Amani Kumbe Anakuja Kuchukua Mali Ambazo Zitakua Hazina Mwangalizi Kwani Serikali Itakua Bize Na Wanaoleta Fujo Hilihali Wao Wanachukua Mali.Mbinu Hii Ya Kukamata Masheikh Na Kuwaua Ndio Iliyotumika Nigeria Kutengeneza Kundi Feki La Bokoharam Ambalo Athali Yake Ni Kuiyumbisha Serikali Ya Nigeria Hivyohivyo Kwa Isis Iraq Mambo Yashaanza Hapa Tz Wanakamata Masheikh Wakati Huo Hao Waalibifu Katika Mgongo Wa Ardhi Marekani Washaunda Kundi Ambalo Litaonekana Linapigana Kuwatetea Masheikh Au Kulipiza Kisasi Cha Kuuawa Au Kwa Kukatwa Kwa Masheilkh Wetu Hili Jambo Linatakiwa Liangaliwe Kwa Macho Matatu Kwani Nchi Hii Muda Si Mrefu Itaingia Katika Machafuko Kwani Viashiria Vikuu Vishajitokeza ~MAWAZO HAYAPIGWI RUNGU mwenye masikio na asikie

Hina mahana boko haramu na Islamic state ni makundi feki
 
Angalia hata hapa bongo mafanikio ya waislamu kutoka kwa wafanyabiashara wa kawaida hadi mabilionea you will get the answer ya mungu wa kweli otherwise utaendelea kujidanganya na propaganda za wazungu huku unapotea.[/QUOTE]

Sasa mbona wanasema tunaongozwa na mfumo kristo,wakati waislamu ni matajiri kuliko wengine?
 
Angalia hata hapa bongo mafanikio ya waislamu kutoka kwa wafanyabiashara wa kawaida hadi mabilionea you will get the answer ya mungu wa kweli otherwise utaendelea kujidanganya na propaganda za wazungu huku unapotea.

Sasa mbona wanasema tunaongozwa na mfumo kristo,wakati waislamu ni matajiri kuliko wengine?[/QUOTE]

Hivi vitu ni kweli na haviwezi kubadilika kwa haraka kutokana na historia na mwenendo wa siasa za dunia nzima kwa ujumla, kwasababu tulipata uhuru kutoka kwa uingereza ambapo kanisa lilikuwa na nafasi kubwa kiutawala, na wanaendelea kutufuatilia ili kulinda maslahi yao ili waendelee kututawala.
 
Angalia hata hapa bongo mafanikio ya waislamu kutoka kwa wafanyabiashara wa kawaida hadi mabilionea you will get the answer ya mungu wa kweli otherwise utaendelea kujidanganya na propaganda za wazungu huku unapotea.

Sasa mbona wanasema tunaongozwa na mfumo kristo,wakati waislamu ni matajiri kuliko wengine?[/QUOTE]

Hongera sana kwakuwa matajiri, lakini utajiri wenu unatija yeyote kwa waumini wenzenu waliomasikini.
 
Sio uongo kuwa huyo mmarekani ni mwizi kwa maslahi yake na wananchi kwani ukiangalia chokochoko zote na mkono wake umo kwenye kila nchi yenye utajiri fulani hebu angalia walivyoiba dhahabu Iraq bila aibu 1416471544372.jpg 1416471562762.jpg
 
...basi tuseme uislam unachafuliwa na waislam wenyewe, kwa mifano uliyoitoa ya IS boko haram, al shabab etc, mi nina video za waislam nyingi zinazohamasisha machafuko, tena misikitini, na kama utahitaji naomba kwa kauli yako uniruhusu nizipost kwenye huu uzi

Wana chinja kama kuku na kuonyesha hadharani, pia wanateka watoto wa kike, wanaoa hata watoto wadogo, zana za kivita misikitini????wanapinga elimu ..vituko kibao. Hata majibu yao humu yanaonyesha jinsi walivyo, matusi, vitisho .....Pia kuna wakristo wa aina hii.

Shetani bwana, anatapatapa ndani ya wengi tu. Ila mwisho wake ni mbaya. Eti wanasingizia Amerika, Israel ni uongo mtupu.

Mimi nawajua Waislamu na Wakristo wazuri sana, na misikiti pia makanisa mazuri wana maadili. Ila maboko haramu na wenzao ni mashetani wakubwa sana.Humu pia kuna watu wa aina hii wa kusupport maovu, chuki, fujo....wako wanashabikia wakiwa ndani ya dini mfano kikristo au kiislamu au hana dini, fujo tuuuuuuu wana foka mapovu...
 
Sisi ndiyo Waafrika bwana, tumejigawanya kutokana na mapenzi, yaani kwenye huu uzi ni malumbano kati ya Wafuasi wa Mwarabu na Mfuasi wa Mzungu/Mmarekani. Malumbano kama haya huwa hayaishi manake kila mmoja uvutia kwake na kujiona yeye superior na anajua zaidi, wale washabiki wa marekani huwa mishipa ya shingo inawatoka kabisa kupinga wasemacho mashabiki na wapenzi wa Mwarabu hata kama mpenzi wa Mwarabu yuko sahihi na hivyo hivyo mpenzi wa Mzungu hata atoe evidences zipi lakini shabiki wa Mwarabu hatoweza kukubaliana naye kamwe. Mi naomba tu nyinyi wapenzi wa Mzungu na Mwarabu malumbano yenu yaishie humu humu jamiifurums na msituletee ujinga wenu mtaani.
 
uongo ulimponza yule shetani mpaka akagongelewa msalabani.
Na wewe utakuja tu kwako
Bestiality
Is there a proper Muslim way to have sex with animals? Indeed, there is! Guidelines for sex with animals can be found in the writings of Ayatollah Khomeini. Two excerpts from his writings serve to clarify the matter.

"A man can have sex with sheep, cows and camels and so on. However, he should kill the animal after he has his orgasm. He should not sell the meat to the people in his own village; however, selling the meat to the next door village should be fine." Don't the buyers deserve a discount of some kind?

Khomeini's "Tahrirolvasyleh" fourth volume, Darol Elm, Gom, Iran, 1990

"If one commits the act of sodomy with a cow, a ewe, or a camel, their urine and their excrement become impure, and even their milk may no longer be consumed. The animal must then be killed and as quickly as possible and burned." What if it was really good and invites another lap or two? Must animals always be one-night stands?
 
Boko haramu ni makafiri km wewe mkuu.
Wanakula nguruwe km wewe na wanabaka km wanavyobaka mapadri makanisani.
No different what so ever.

so boko haram ni wakristo?
 
Wana chinja kama kuku na kuonyesha hadharani, pia wanateka watoto wa kike, wanaoa hata watoto wadogo, zana za kivita misikitini????wanapinga elimu ..vituko kibao. Hata majibu yao humu yanaonyesha jinsi walivyo, matusi, vitisho .....Pia kuna wakristo wa aina hii.

Shetani bwana, anatapatapa ndani ya wengi tu. Ila mwisho wake ni mbaya. Eti wanasingizia Amerika, Israel ni uongo mtupu.

Mimi nawajua Waislamu na Wakristo wazuri sana, na misikiti pia makanisa mazuri wana maadili. Ila maboko haramu na wenzao ni mashetani wakubwa sana.Humu pia kuna watu wa aina hii wa kusupport maovu, chuki, fujo....wako wanashabikia wakiwa ndani ya dini mfano kikristo au kiislamu au hana dini, fujo tuuuuuuu wana foka mapovu...

mkuu kua muelewa.! hakuna mtu atapinga Kua Isis au boko haram hawaui watu., ukweli ni kwamba wanaua tena wanaua hata waislam wenzao wanaowapinga, wanasema elim ya kimagharibi ni haram! na mengine mengi.. .testimonials zinaonyesha kua watu hawa ni mbegu aliyopanda Us. ushahidi upo sana tu.... nianzie kuonyesha juhudi za Us tangu 1980's za kunzisha dola ya kiislam, ..Gazeti la Washington Post la 23march 2002 liliripoti hivi "the U S spent millions of dollars to supply Afghan schoolchildren with textbooks filled with violent images and militant Islamic teachings...The primers, which were filled with talk of jihad and featured drawings of guns, bullets, soldiers and mines, have served since then as the Afghan school system's core curriculum. Even the Taliban used the American-produced books ....
zipo makala nyingi tu kuhusu US kusaidia ugaidi.
uislam unachafuliwa bila waislam kujijua....someni kwanza alaf mje na hoja, na sio kuona pengine sisi tunakurupuka tu.... ..no research no right to speak..
 
Wana chinja kama kuku na kuonyesha hadharani, pia wanateka watoto wa kike, wanaoa hata watoto wadogo, zana za kivita misikitini????wanapinga elimu ..vituko kibao. Hata majibu yao humu yanaonyesha jinsi walivyo, matusi, vitisho .....Pia kuna wakristo wa aina hii.

Shetani bwana, anatapatapa ndani ya wengi tu. Ila mwisho wake ni mbaya. Eti wanasingizia Amerika, Israel ni uongo mtupu.

Mimi nawajua Waislamu na Wakristo wazuri sana, na misikiti pia makanisa mazuri wana maadili. Ila maboko haramu na wenzao ni mashetani wakubwa sana.Humu pia kuna watu wa aina hii wa kusupport maovu, chuki, fujo....wako wanashabikia wakiwa ndani ya dini mfano kikristo au kiislamu au hana dini, fujo tuuuuuuu wana foka mapovu...

Uambiwe nini?

Tatizo lako hizi TV na Magazeti Ndio Yamekuwa waalimu wako mkuu.

Usibebe hizi stori nzima nzima.
Fanya Uchunguzi kwa Kina.

Ukufuata hizi tv kichw kichwa Iko siku Utagombana Na Mkweo vibaya sana.

Manake Wazungu kila siku wanasema Wakwe NI NUKSI SANA.

sAsa kwa mtu mwenye kufuata habari za Tv Usijempiga teke Mkweo bure kisa CNN wamesema.
 
Back
Top Bottom