Siri ya macontractor wa Kichina

toby ziegler

Senior Member
Aug 20, 2011
105
57
Hivi kuna siri gani kati ya ma contractor wa KiChina kuwa na bei za chini mno?

Rushwa au Uchakachuaji au bei za material?

kama issue ni bei za material siku hizi dunia iko open na siamini eti kampuni kama Hainan au CRJE au Beijing watakuwa na soiurce ambayo kampuni kama Mirambo contractors au Kilimanjaro contractors wasijue

anyone?
 
Wewe ni mwajiriwa wa Rostam mwizi wa pesa zetu nini? Kuhusu Wachina kuwa na bei nafuu inatokana na mambo mengi. Mojawapo ni kutotaka faida kubwa sana kama makampuni mengi ya ujenzi yanavyotaka. Pili mishahara ya wachina ni modogo ukilinganisha na nchi zingine maana hata Profesa wa Tanzania analipwa pesa nyingi sana ukilinganisha na Profesa wa China. Ofcourse kama usimamizi ni legelege ni wajuzi wa kuchakachua pia. Lakini kuna miradi mikubwa sana ya ujenzi waliyofanya kwa ubora wa hali ya juu sana kuanzia huko nchini kwao.
 
overheads and expenses zao ni ndogo sana .... price build up ya rates zao pia huzingatia plant and machinery kwa bei ya chini kwani vitu hii wanayo

labour cost ni chini sana .... wachina wanashinda tender nyingi kwa sababu macontractor wao wanaushirikiano ... huwa wanasindikizana kwenye tender na kuachiana kwa kupeana engineering estimates .....
 
Back
Top Bottom