Siri ya macontractor wa Kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya macontractor wa Kichina

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by toby ziegler, Sep 5, 2011.

 1. t

  toby ziegler Senior Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna siri gani kati ya ma contractor wa KiChina kuwa na bei za chini mno?

  Rushwa au Uchakachuaji au bei za material?

  kama issue ni bei za material siku hizi dunia iko open na siamini eti kampuni kama Hainan au CRJE au Beijing watakuwa na soiurce ambayo kampuni kama Mirambo contractors au Kilimanjaro contractors wasijue

  anyone?
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe ni mwajiriwa wa Rostam mwizi wa pesa zetu nini? Kuhusu Wachina kuwa na bei nafuu inatokana na mambo mengi. Mojawapo ni kutotaka faida kubwa sana kama makampuni mengi ya ujenzi yanavyotaka. Pili mishahara ya wachina ni modogo ukilinganisha na nchi zingine maana hata Profesa wa Tanzania analipwa pesa nyingi sana ukilinganisha na Profesa wa China. Ofcourse kama usimamizi ni legelege ni wajuzi wa kuchakachua pia. Lakini kuna miradi mikubwa sana ya ujenzi waliyofanya kwa ubora wa hali ya juu sana kuanzia huko nchini kwao.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  overheads and expenses zao ni ndogo sana .... price build up ya rates zao pia huzingatia plant and machinery kwa bei ya chini kwani [FONT=&quot]v[/FONT]itu hii wanayo

  labour cost ni chini sana .... wachina wanashinda tender nyingi kwa sababu macontractor wao wanaushirikiano ... huwa wanasindikizana kwenye tender na kuachiana kwa kupeana engineering estimates .....
   
Loading...