Siri ya Lowassa yavuja

Siri ya Lowassa yavuja

Mtu anagombea urais anajinadi kwa kufuta posho za wafanyakazi. Hivi Magufuli hajui posho za safari semina mafunzo n.k ziko kisheria? Hili sio jambo la kujivunia hata kidogo. Au autuambie hizo posho za mawaziri ni tatizo kwenye serikali hii ya kwao tutamwelewa. Halafu raisi anajinadi kwa sera . Hivi kweli kupunguza au kuondoa kabisa posho za wafanyakazi ni sera au kipaumbele cha Rais ajeye 2015? Magufuli anatakiwa ajue tofauti ya utendaji wa serikali na miongozo yake na sera ya nchi. Huwezi kujinadi kwa vitu vidogo namna hii halafu ukaniambia wewe una uwezo wa kuwa Rais.

Sasa kama utafuta posho za mawaziri ina maana sisi wafanyakzi wa kawaida utatufanyaje? Yaani hata tukisaifri kikazi tujitegemee posho ?
Wewe kwa akili yako unadhani sheria ni msahafu wa maneno ya Mungu kwamba binadamu hawezi kutabadilisha?

Anaposema atafuta ina maana atapeleka mswaada bungeni ili itungwe sheria myingine itakayofuta posho za wafanyakazi na mawaziri.

Half knowledge is more dangerous than ignorance!
 
Hili BEPARI LA KIMASAI Haliwezi kuwa RAIS nchi hii.FEDHA haituchagulii rais.....Itanunua WAZOMEAJI,WAANDAMANAJI,WAFANYA VURUGU na siyo watu wenye akili Timamu.
 
sa hyo msukuma simuelew, atamteuaj Fredrick sumaye awe pm wakat wazr n lazma awe mbunge njuavo m sumaye hajagombea ubunge,
 
msukuma mbona ckuelewi wakati unampigia debe awe rais kupitia ccm alikuwa mzur ila baada ya kuwa chadema ndo muovu tufumbuen macho viongoz wetu mbona mnatuzonga
 
Binafsi nimesha amua kula yangu itaenda kwa lowassa kiroho safi,hata mfanyeje hamuwezi kubadilisha akili yangu.go to he.ll ccm!
 
kumsikiliza mtu wa ccm inahitaji uvumilumilivu wa hali ya juu sana vinginevyo unaweza kumpiga makofi kabisa.
rais analalamikia kitu kilekile
mgombea urais analalamikia kitu kile kile
mgombea ubunge naye kilekile
mgombea udiwani naye kilekile
mkereketwa wa chama naye kilekile
cha kushangaza zaidi wako madarakani kwa miaka 54 sasa halafu wanalalamikia kitu kile kile.
hivi hawa jamaa wana akili kweli?
 
'Eti bana mzima unajisifia mbele ya wanaume wenzako mimi nilikuwa pandikizi ndani ya CHADEMA'


Na wewe kweli unaona hiyo nayo ni siasa safi kwa nchi hii? Badala ya kutatua matatizo ya watu mnaennda kuharibu vyama!
Maneno yenu CCM yatawamaliza.
 
Mbaya zaidi nao wanataka mabadiliko!ni kichekesho.katibu mkuu anasema ccm INA majizi na majambazi hivyo mfumo huo unatakiwa uondolewe.Kuwaamini hawa ni uzezeta tena uliopitiliza!
 
Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, Sumaye atawezaje kua mbunge wa kuchaguliwa? Hapo ndo uongo unapodhihirika.
 
Waziri Mkuu anatokana na wabunge tena si wa kuteuliwa. Sasa huyo Sumaye anagombea jimbo gani?? Kufa kwa nyani..... Wasukuma this time HAWADANGANYIKI.
 
Ndo hapo ukawa itakuwa ukiwa.. I wonder why wanajiamini na kutudanganya kuhusu mabadiko kwa kutumia uozo ulio bwaga na ccm
Musukuma atawasukuma tu!! Jana Mzee Makamba kachana na anasema bado ataendelea kuleta michano!!
 
Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, Sumaye atawezaje kua mbunge wa kuchaguliwa? Hapo ndo uongo unapodhihirika.[/QUOTE

Kama kweli huyo msukuma kaongea hayo hafai kuwa mbunge mtu ambaye hata katiba haijui a
 
Sumaye waziri mkuu tena aaaaargh jamani. Tanzania yangu mbona hivyo? Mpiga madili Mbowe form 6 failure ndiyo waziri wa fedha? Poor Tanzania! Nakuombea sana kikombe hiki na kikupite!
Hiyo ya Sumaye haijakaa sawa kwa kuwa kwa Katiba ya sasa Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wala si wa kuteuliwa. Sijaona Sumaye akigombea!
 
Kwa sasa hatutawasikiliza mpk EL achukue nchi....
 
Hana lolote huyo,eti anamsubiri aropoke ndio atamjua msukuma.... Aeleze sera zake aache umbea
 
Waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa huyo msukuma hajui hata kutudanganya pia msisahau kuwa kumkandia lowasa hakuwezi kubadilisha mateso na taabu tulizozpata kwa miaka 10 hadi tukawapeni kura nyie ss wananchi tunatoka tuwaoonyeshe kama sisi ndo waajr wenu hzo jeur zenu mlzozfanya kwa miaka 54 ya huru zinatosha!
 
Back
Top Bottom