Siri ya Lowassa yavuja

Siri ya Lowassa yavuja

sa hyo msukuma simuelew, atamteuaj Fredrick sumaye awe pm wakat wazr n lazma awe mbunge njuavo m sumaye hajagombea ubunge,
Lowasa and his followers have similar characteristics. Utapeli, ufinyu wa uelewa na ulaghai. Lowasa naye anadai atamtoa jela Nguza wakati hana uwezo huo kisheria.
 
Nafikiria mshauri wa Lowassa lazima awe mtu mwenye tamaa na asiyejali utu..
 
Kwa hiyo yy msukuma hakuahidiwa ndo maana ulikataaa je ww umehidiwa nn ccm? Acha kuchafua watu walio na huruma kwa watnzania lowasa ana nia njema kwetu na ndo maana tunamuamini, na je? Angebaki ccm na kuteuliwa kuwa mgombea ungeongea hayo,? Kwa nn usingesema mapema kabla hajahama wtznia tukajua mapema, mmeona upepo mbaya mnachafua kwa nguv, mbona lowasa yy katulia haongei kma mnajiamini ccm kwa nn msipige kampeni kama wenzenu? Vijembe vya nn? na wenye maamuzi ni ss wananchi tutaamua wenyewe hata kama mkichafua bado kama tunaamin tutazid kuamini, na mjuwe kuwa mnavyomchafua lowasa ndo mnampa uaminifu zaid kwa wanainchi, eleza sela zako tuskilize tuchamvuwe basi sio kuchafua mtu.
 
Huyu Kijana Msukuma anaogopa serikali ilianza kumuuliza kuhusu mali akaamua kujikabidhi.....anyamaze tu maana watu wameamua mabadiliko isije ikafika octoba 25 rais akawa Lowassa akaanza kumsifia tena! kumbe kachelewa
 
Msukuma anasema, sasa ni zamu yetu wasukuma! Wasukuma wako wangapi waliojiandikisha ktk daftar la mpiga kura? Siri zinto yenyewe ni kumteua mbowe kuwa waziri wa fedha, na sumaye kuwa pm!? Ndiyo kamaliza siri nzito au ataendelea? Ndiyo naanza kuelewa kipaumbele cha kwanza chadema/ukawa, kuwa ni ELIMU, ELIMU, ELIMU.
 
Hata umnadi magufuli kias gan hata mumseme lowasa vp hata kama asingekuwa anagombea lokawekwa jiwe napigia jiwe kura na sio ccm
 
WE LIKES LOWASSA HATA MSEME NINI CHAGUO LETU NDIO HUYO!
HATUBADILIKI NGO,NGO,NGO!!
**LOWASSA 2015~2025**
ii
hata wapake kinyesi barabara zote ziendazo kwa Lowasa tutamfuata tu, sisi na lowasa ni kama maji uwezi kukosa kuyatumia.
 
Stupid Musukuma! Hata hajui sifa ya mtu kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu! Mbona kanda ya ziwa nao wana campaign kumpigia "mtu wao"?
 
Mbona hawaongei mambo yao? Kutwa kumjadili Lowassa na Mbowe. Inahuuu?
 
Waziri mkuu na Waziri yoyote lazima uwe mbunge sasa sumaye ni mbunge wawapi. Akili fupi
 
Mimi napenda nywele za lowasa,sasa ongeeni baya mlitakalo kura yangu nampigia sababu ya nywele zake zipo kama za baba yangu
 
Back
Top Bottom