Lenatuschacha
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 156
- 36
Mwende huko na ukabila wenu na ukanda wenu sisi tupo kanda ya ziwa lakini tunasema madiliko
Mwanamme mzima unajitaja kuwa nilikuwa pandikizi!?Mimi nilikuwa pandikizi wa CCM ndani ya Chadema, baada ya kuona Mbowe natekeleza Ilani ya CCM katika kipindi changu cha Uongozi wakanifukuza, alidai Matata.
Kama gazeti linaweza kuandika upuuzi kama huu, ni hatari sana, inabidi lipuuzwe,
Msukuma ambaye ni mgombea wa CCM Jimbo la Geita Vijijini, alidai kuwa hadi sasa mpango wa Lowassa kama atashinda kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kumteua Waziri Mkuu mstaafu aliyehamia Chadema, Frederick Sumaye kuwa waziri mkuu katika serikali yake.
Chanzo: Jambo leo