Siri ya Lowassa yavuja

Siri ya Lowassa yavuja

Hivi Unaweza Kuteliwa kuwa WAZIRI MKUU BILA KUWA MBUNGE?
hiizi siasa za wapi?
huku si kutumia ujinga wa watu vibaya?
ndio maana wanawanyima Elimu.
 
Hiv hakuna wagombea urais wengine????? Mbona lowasaaaaaa tu?????kwel lowassa ntampa kula yangu khaaaaaaa
 
hata hajui anachokiongea , huwezi kuwa waziri mkuu kama si mbunge wa jimbo. sasa sumaye kagombea ubunge kwenye jimbo ? katiba inazuia mbunge wa kuteuliwa na raisi kushika wadhifa wa waziri mkuu ila wizara nyingine aweza kushika. kama msukuma hujui mambo kaa kimya unatudhalilisha std seven wenzako.

Atabadilisha Katiba, rejea ahadi ya Katiba mpya!

 
mnaoema magazet ya ccm yanaandika uongo, mnao ushahidi? au ndo mwaibip sheria yetu ya makosa ya mtandaoni. haya mimi cmo.
 
Mbona huyu Msukuma anatoa kauli za kibaguzi, anaposema huu ni " Muda wa Kanda ya ziwa kutoa rais" huu siyo uungwana kwa kiongozi kama huyo kutoa kauli za namna hiyo, hapo kachemka!
 
Msimamo wetu ni huu, umjue mpk ndani ya utumbo wake na uanike kl ukijuacho humu na kuuleza uma haitusumbui tutampa kura zetu zoooote. Hatusikii la kuvunda wala la ubani, TUMEAMUA
 
Tunataka kuzisikia hizo siri ambazo wanaijiita walikuwa wajumbe 11 wa kumkampenia lowasa achaguliwe uraisi ccm na yule anayejiita likuwa pandikizi. Mbona mnakula denge? Semeni hizo siri ni zipi? Vinginevyo,mtaonekana wapumbavu!.
 
Halafu habari kama hii inaandikwa na Gazeti lenye waandishi wanaopaswa kuwa wa mfano Tanzania. Sumaye hagombei ubunge, atawezaje kuteuliwa kuwa waziri mkuu wakati katiba inatamka kuwa lazima Waziri mkuu atokane na wabunge wa kuchaguliwa? Uandishi wa aina hii unakera sana
 
Kwani Sumay anagombea ubunge? Atakuwaje waziri mkuu bila kuwa mbunge wa kuchaguliwa. Msukuma katiba ipo kisogoni. Tz ukiwa na vihela kidogo ukisema hata yasiyowezekana unashangiliwa
 
CCM ilishakufa zamani, hana jipya huyo kilaza! Lowasa ndiye rais wao tu hata watekenyane vipi!
 
Msukuma anajiffanya anamjuwa lowaasa? na jk atasemaje kuhusu maji mbona kazi knafanywa na mgodi tena mgodi walishafunga bomba toka lake victoria toka 2011.
Ila sehemu ya serikali kuzambaza mtaani ilikwama saa hizi wanasuasua
 
Huyo msukuma ni mjinga, yaani hajui kuwa Waziri Mkuu lazima awe mbunge aliyechaguliwa jimboni na sio kuteuliwa? Hivyo Sumaye hawezi kuwa Waziiri Mkuu kwani hana jimbo. Aache propaganda zisizo na mashiko na by the way ni mbunge wa aina gani watu wa Geita Vijijini wanataka kumpeleka bungeni kama hajui utaratibu wa Waziri Mkuu anateuliwaje? Pia huyo mwandishi wa Jambo Leo hajui kuchambua habari ya kuandika? Ameshindwa kuhariri habari ya maana? Ni ajabu sana kuwa na wandishi na wahariri wa namna hii ni shida sana kutambua kama elimu yetu inapaa au inaporomoka.
 
flagysyrup

Mutahaha sana kwa uongo wenu. Tulisha wapuuza muda mrefu, nangonjera zenu. Mumewaona watanzania kama ma zezeta, huo mtazamo ulio fifia. Ni mwaka huu mutakuja juta. Kwani tumesikia siri ngapi jameni? Hamna hoja hamuambi wana nchi sera zenu, sera yenu imekua mh Lowassa mumepotea kabisa, yaani amewasambaeatisha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom