Siri ya kuwa huru kwenye ndoa

Siri ya kuwa huru kwenye ndoa

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Kila mtu anapenda kuwa huru na maamuzi yake mahali popote pale iwe kwenye ndoa, kazini n.k...

Shida ni kutoa uhuru kwa mtu mwingine mfano kumruhusu mke/mme kurudi nyumbani muda anaotaka!

Kwa wanaume, ukitaka kuwa huru usiulizwe ulizwe maswali ulikuwa wapi na nani au mke ananuna nuna! baada ya kumuoa ndani ya siku tatu za mwanzo wa maisha ya ndoa hasa siku ya kwanza nenda kapige story kitaa rudi saa nane, kesho yake wahi mapema.

Siku inayofuata rudi saa sita, kesho yake rudi saa kumi na moja, siku inayofuata rudi asubuhi, kesho yake rudi mapema, namaanisha kuchelewa iwe jadi yako mzee hutakuwa unauluzwa ulizwa na utakuwa huru kinoma!

Namaanisha kwa wale wanao taka uhuru katika ndoa zao nje nahapo kama ulianza na A wanataka umalize na A, Hii ni kwa wale ambao hawajaoa ili wakiingia wa-practice! uliyeoa don't try in ur marriage itakula kwako!
 
Kwani dhumuni la kuoa nini?kwani mmeambiwa mke ni pambio la nyumba?kama mtu anapenda maisha ya ubachela/uhuru aendelee kuwa bachela mpaka atakapokuwa tayari kuacha ukapera!
 
huyu aliye kudanganya kuwa ukio uhuru unapotea kakuongopea......
 
Jamaa kaongea kweli mkeo unatakiwa umjengee mazingira frani ya kuto kutabili
 
Ki ukweli that is selfish!
why one side be treated that way?
so what! agrrrrr


Ukweli sijawahi tamani ndoa, na sitakuja niishi Ktk ndoa, bora kuwa km jlo, maisha ya ndoa ni kichefuchefu hasa ukutane na mme/mke asiye muelewa km huyo mtoa mada hapo juu...


Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
point ya maana ukiwa na mchumba muoneshe ulivyo usipretend wengine kurudi hm saa 11 ni kawaida unless ninaissue za kufanya. wambili havai moja
 
Na kwa mwanamke fanya the same. Usimuulize anarudi saw ngapi wala usinune, ILA na wewe pitia bar na mashosti, kasalimie aunt zako WA mbagala Rudi saa sits usiku. Yeye mwenyeewe ndo ataanzisha mazungumzo ya kuwahi kurudi.
 
Mmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!

Kwenye kurudi mda anaotaka My Mdingi is a PRO! Trust me when i tell you hata akirudi asubuhi hamna kesi.

He just uses a SIMPLE TECHNIC!!!!!!!!!! Na hii technic ni timelss anaiumia since the dark 1985 to digital 2014.
Anachofanya anaoa taarifa tu, leo nitachelewa siji nitarudi saa ngapi ila nitakuwa Pub flani na mzee falani, na flani tunakunywa na kudiscuss mamboe ya kiume." ukiona huniamini mda wowote njoo unichngulie au tuma mtu, usiponikuta ndo uanze kurap. Ukinikuta wahi kulala ila uwahi kufungua mlango. N dont get any funny ideas kuwa nitaanza kondoka kabla ya wenzangu, hilo litakuwa gumu, let it be remembered mimi ndo NIMEKUOA! And let it stay that way. Ukiona hupati usngizi unakaribishwa kunywa meza ya jirani. Hahaaaaa.

Simple like that. Vijana wa siku hizi mnawekewa ngumu kuchelewa kwanza MMEOLEWA na wake zenu, pili ambiguity nyingi sanaa unachelewa wapi. Ila ukiweka wazi unachelewa wapi na kwa nini maisha simple sanaaaaaaaaaaaa!
 
ni vigumu sana kuwa ndani ya ndoa na kupata uhuru wa kibachela. lazima uchague moja uoe na ubaki umefungwa pingu za maisha. au usioe uendelee kula ujana(nimekumbuka ney wa mitego anakula ujana)
 
Back
Top Bottom