Siri ya kuwa huru kwenye ndoa

Siri ya kuwa huru kwenye ndoa

wala kama untaka uhuru.hakuna sababu ya kuoa..wewe urud nyumbani usiku daily cha mkeoutakula saa ngapi? utajadili mambo yenu ya maendeleo.saa.ngap?huo ni uhuni..ukishaoa au kuolewa huna budi.kubadilika na kuishi kama mtakavyokubaliana.kama mwenzio hapend uchelewe.heshim hisia zake na jitahid kuwah nyunbani..kampani ya mabachelor itakusaidia nin wewe ulieoa.au kuolewa? sio sahihi et kutafuta uhuru...kama uliukosa ukiwa bachelor ndo bas tena..
 
Hahaaaa!hyo ni formular kwa pande zote mbili,mke unamzoesha mume safari za k party,kwenda kwny kikoba,kutembelea mashost na kutoka nao!ngoma droo!mtaishi kwa rrrahaaaaa!
 
Sijakimbia TZ asilimia mia, japo wanangu wanamchukia sana baba Yao, na hawapendi kabisa likizo kuja TZ, ila mimi nakuja kila baada ya mwaka kwa ajili ya mama yangu,maana mama yangu ni muhimu sana na apendi kuja kuishi ulaya, na pia ningependa nikistafu km nipo hai bado, nimalizie uzee wangu TZ, kwahiyo tunajenga nchi pamoja mkuu 🙂


Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Nimefurahi kwa hilo,karibu sana
 
Hayo mawazo yako nilikuwa nayo kama miaka 20 iliyopita...
 
people mnafurahisha sana kweli jf kiboko yao duh!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom