Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Hii itakuwa part gapi? Jamaa walisha toa maelezo wewe unaturudisha nyuma. Kama sio unafiki basi ni nini?
 
Ben saanane nafaham ni member wa nec ya cdm,na zitto nadhani ni member nec na cc. Katika kikao cha nec kilichofanyika diamond jubilei kilichobariki kutimuliwa kwa mwampamba na shonza wote walikuwemo. Je kulikuwa na uzibe gani kati ya ben na prezo kuonana? Pathetic. Prezo atakuwa ni muongo!
 
tumechoka. ben ni msaliti kama kina mwam cotton. mlipanga wote njama iweje uonekane shujaa?
 
Huuu ni ujinga kila leo yale yale na wasio jua watavamia!
 

Chadema hatuna NEC.Labda kama unafanya comparison
 


Kaka we tuweke wazi ili tujue nani ni muongo
 
We Rockcity native, chukua hizi notes ukajisomee, jibu la swali lako liko humu
 
Last edited by a moderator:
JK: sijui nani mmiliki wa Richmond
Zitto :Sijawahi kukutana na wala simjui Ben Saanane
Dr Shein na Maalim Seif:Hatuwafaham uamsho
Uhuru Kenyatta:sijawahi kuona hata mfuasi mmoja wa MUNGIKI

BADO MZEE WA HAKUNA MGAO WA UMEME,

Duh...kila mmoja hapo juu ataumbuka kwa wakati wake.

Ongeza na hii ya Mzee Wassira kuwakana watoto wake.Siasa za Afrika hizi.Uongo na unafiki.Tuvunje utamaduni huu.

Nilikataa kumkana Mamuya kwa kuwa sijazoea.Wao wakanikana kama adhabu.Hatimaye wemeanza kuumbuna,kila mmoja anamkana mwenzake. Niliwaonya kwamba Muosha huoshwa,what goes around comes around!
 
Ben, Zitto anadai hamjawahi kukutana, na hata wewe unakiri pale Lunch Time hotel Zitto hakuwapo, na inadaiwa ulilalamika kwa nini Zitto anakukwepa, jee, waweza sema mahali gani mliwahi kukutana? hujawahi hata siku moja kusema mlionana hotel fulani, baa fulani au nyumba ya fulani, ila wewe wakazania mlionana, je mlionana wapi?
 

Chamakh,

Sipendi kujadili suala hili kwa kuwa ni mara nyingi sana tumekutana.Hazihesabiki.Wakati mwingine kwa siri wakati mwingine in public

Mara ya kwanza ilikua kwenye kongamano la CHASO pale Makubiri ambalo Dr.Slaa alikua mgeni Rasmi.

Mchange,Mwakajila,Dr.Kitila na baadhi ya viongozi wa CHASO kipindi kile wanaweza kuthibitisha hili.Hata kuondoka uwanjani tuliondoka pamoja kwenda pamoja kwenye gari yake

-Baada ya uchaguzi wa BAVICHA tumekutana maeneo mengi sana yakiwemo UDASA,Tamal Hotel,Southern Sand, na maeneo mengi

-Wanasiasa tuache uongo.Nawaonea huruma akina Mwampamba kwa kusalitiwa na mtu/watu waliowaamini .
 

BWANA Akusimamie, achana na hao nduli , wafitini, mashetani. Penye ukweli uwongo hujitenga na Mwenyezi Mungu Atasimama kati. Usife moyo, bravo mpiganaji, a luta continua!!!!!!!!!!!
 

mnaponiacha hoi ni pale mnapoendeleza hadithi na story zisizoisha! Why? Mambo ya kitoto kabisa...kwa hiyo muwe mumekutana au hamjakutana chama kina nufaika vipi au raha yenu ni kuona chama chenu kinakufa? Hamna vikao kwenye chama?
 
Aiseeeeee! Mi siamin macho yangu mpaka leo kitendo cha kamanda MBODI MCOTTON kusema Zitto Mnafiki, Pia kitendo cha Juliana Shenz naye kumponda baba yao mlezi wa masalia.......

Tutasikia mengi..........
 
Jamani kama kuna mtu anajua elimu ya hawa vilaza wawili Hando na Kibonde maana ukiwaskia tu unajua ni mambulula hivi kweli wamemaliza hata darasa la saba kweli????
 
Duh! Hapa kuna mtu "atajinyonga" kisiasa......haya yote mnafanya kwa maslahi ya nani? chama ama binafsi?
 
Bado hapa kuna bifu kati ya Ben na Zitto. Ben anaanza kuwaonea huruma masalia. Yetu macho.
 
Zitto ni kiongozi wa Chama tena wa ngazi ya juu na ametumia busara zake kupunguza vuguvugu alilolianzisha mwenyewe. You guyz kwanini msimrespect kama kiongozi wenu? Mnajisikia raha gani kuendelea kumsimanga? Mkikaa kimya mnapungukiwa naninini? Mnataka aseme yote ili mfaidike nini?

Msipoangalia nyie ndio mtazidi kupoteza umaarufu na kumuacha yeye akipanda, jifunzeni kusoma alama za nyakati jamani mnavyozidi kumkomalia ni muongo mnafaidika naninini? Tumuunge mkono tuendeleze M4C
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…