Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

Do santos

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
635
Reaction score
340
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
 
Hili lina ukweli ndani yake na lina mchango wake katika ushindi wa CDM lakini pamoja na hayo bado walikuwa wamekalia kuti kavu.
 
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015

CCM-Chama Cha Mafisadi na Majambazi kimeshindwa kihalali. Hakuna haja ya kutafuta mchawi na kulaumiana. Maana kama ni kulaumiana waanze na Mzee wa Ubinafsishai wa Kila Kitu-Mkapa mwenyewe, Waziri wa Usingizi-Steven Wassira,Meneja Kampeni na Kubaka wake za Watu-Mwigulu Nchemba,Lowassa Richmonduli na Nnape Nauye-Katibu wa Uenezi wa Uongo na Propaganda za Chama Cha Majambazi.

CCM hakika wamevuna walichokipanda kwa miaka 50 iliyopita huko Arumeru East. Hii ni indicator kwamba come GE 2015 wembe ni uleule!

Bravo CHADEMA. Hongereni sana Makamanda wa chama kwa kazi nzuri saaaana.

God bless you all.
 
Tatizo ni kwamba ccm hawataki kufika mahali wakakiri kwamba chama chao kimepoteza mvuto kwa umma kwa kuwa kimepoteza dira, badala yake wanatafuta visingizio visivyo na kichwa wala miguu.
 
Picha yote ya Arumeru inapendeza. Bila shaka matokeo haya ni mema sana kwa wananchi wa Meru. kazi iliyobaki ni kuhakikisha mashamba ya mafisadi na migahawa yao inarudishwa kwa wenyewe, kwa heri au kwa shari. Nawashauri wachagga mujifunze kwa jirani zenu, msituchanganye mbele ya safari:frusty:
 
Msitafute mchawi , mmezidiwa nguvu, huwezi kuzuia nguvu ya Wananchi wakiamua kuleta mabadiliko, hata uonge pesa bure.
 
Tatizo ni kwamba ccm hawataki kufika mahali wakakiri kwamba chama chao kimepoteza mvuto kwa umma kwa kuwa kimepoteza dira, badala yake wanatafuta visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

hawa magamba wametumia kila kitu cha nchi hii kwa manufaa yao, watumia magari ya serikali kwenye kampeni za chama, wametumia muda wa serikali pia kwenye kampeni za chama, haya jamaa ni wahujumu uchumi wa tanzania siwapendi ni wafujaji wa mali za walalahoi.
 
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015

Hizo ni danganya toto za sizitaki mbichi hizi.
In short CCM ni chama kisichoaminika mbele ya watanzania werevu.
 
safari ndiyo imeanza 2015 hiyo sasa wananchi tujipange kupatikana kwa katiba mpya vivaa cdm vivaa tanzania
 
LOWASA ni mbabe sana kwa jeuri ya fedha,ametengeneza mtandao wa kujihami ili tuamini kuwa yeye si fisadi wala hausiki na matatizo yanayoikumba nchi hii. Kama kweli LOWASA na CHENGE wanaipenda CCM basi ni fursa kwao kujivua gamba ili CCM mpya !
 
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015

Ni anguko la CCM si Lowasa pekee,maana wote ni magamba.
 
Kama libya vile, hamna wa kutuzuia pale tunapodhamiria kuchukua jimbo flani, haya sasa, siyoi subiri upewe kazi ndano ya kuwa balozi wa tanzania nchini somalia. teh....teh....teh....
 
Kirumba, Kiwira na Lisbon wamemkmoa nani? CCM kimeshindwa na wala si kwa sababu ya Lowassa.

Mnaacha kumlaumu mwenyekiti wenu kwa uongozi goigoi mnakwenda kumlaumu Lowassa; je mkijashindwa huko Segerea bado mtamlaumu huyo mmeru? Kuna haja ya ccm kufanya tathmini ya uongozi wa Kikwete na kuchukua hatua za kurestructure chama kwani hicho sio chama chake na amekikuta hawezi kukihodhi!! Kuna umuhimu wa kutenganisha urais wa nchi na uenyekiti wa ccm ili serikali na chama vipate watu fulltime wa kuviongoza badala ya sasa.Mkiambiwa ukweli kuwa chama kitamfia mikononi mnakimbilia kusema watu wachochezi; ukweli ndio huo kuwa mwenyekiti hana uwezo wa kukiongoza chama yuko kwenye kukusanya mali zaidi.
 
Back
Top Bottom