mnyamiwono
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 708
- 71
wazazi wako umewaambia hivi? domo lile...
Dogo leta hoja, usitokwe povu..............................
WANA JF.....................................
Imebainika kuwa ushindi wa CCM katika jimbo la kalenga ulikuwa rahisi kuliko tulivyodhani kutokana na chama kikubwa cha upinzani (CDM) kukosa mambo yafuatayo:
1. Kukosekana kwa zzk ndani ya CDM na mchakato huu kwa ujumla
2. Kukosekana kwa umoja ndani ya wanaCDM wenyewe
3. Kamanda mawazo na lema hawana hoja na umaarufu wa kushawishi wapiga kura
4. CDM kuendekeza siasa za mazoea na lawama katika chaguzi zote
5. CDM kushindwa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathimini (M&E) wa siasa unaotumika ktk ujezi wa vyama na chaguzi.
ARI YANGU kwa viongozi wa CDM............. wajenge chama kwanza ili wapate matokeo mazuri katika chaguzi.
Leo wamekulipa buku saba cash nini?.WANA JF.....................................
Imebainika kuwa ushindi wa CCM katika jimbo la kalenga ulikuwa rahisi kuliko tulivyodhani kutokana na chama kikubwa cha upinzani (CDM) kukosa mambo yafuatayo:
1. Kukosekana kwa zzk ndani ya CDM na mchakato huu kwa ujumla
2. Kukosekana kwa umoja ndani ya wanaCDM wenyewe
3. Kamanda mawazo na lema hawana hoja na umaarufu wa kushawishi wapiga kura
4. CDM kuendekeza siasa za mazoea na lawama katika chaguzi zote
5. CDM kushindwa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathimini (M&E) wa siasa unaotumika ktk ujezi wa vyama na chaguzi.
ARI YANGU kwa viongozi wa CDM............. wajenge chama kwanza ili wapate matokeo mazuri katika chaguzi.
dogo nduguyo.bichwa kubwa..
dogo nduguyo.bichwa kubwa..
bila zito chadema inayumba