Siri ya kaburi

Siri ya kaburi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,104
Reaction score
828,989
Pamoja na upweke wake na kuogofya kwakwe kwa wale walio hai inawezekana wafu wenyewe wakifika huko ni full shangwe, full bata, full maokoto
Kuna simulizi za kusadikika kwamba huko makaburini kuna maisha yanaendelea kama huku duniani tuu .. Tofauti yake ni kwamba huku tunasubiri kufa ila wao huko wanasubiri kufufuliwa

Hii picha imenifikirisha sana
Zaidi soma

e97f85fc586f969a9fe063ae3a1b525a.jpg
 
Pamoja na upweke wake na kuogofya kwakwe kwa wale walio hai inawezekana wafu wenyewe wakifika huko ni full shangwe, full bata, full maokoto
Kuna simulizi za kusadikika kwamba huko makaburini kuna maisha yanaendelea kama huku duniani tuu .. Tofauti yake ni kwamba huku tunasubiri kufa ila wao huko wanasubiri kufufuliwa

Hii picha imenifikirisha sana
Zaidi soma

View attachment 2910890
mbona huyo ana bikira wawili sisi tumambiwa ni bikira 72,!? au mudi kaanza kutupigaa😂😂 any way,.

Maisha ni kristo kufa ni faida, ukiwa mchafu baada ya kifo chako nafsi chafu zitakuzonga na kukutesa
 
mbona huyo ana bikira wawili sisi tumambiwa ni bikira 72,!? au mudi kaanza kutupigaa any way,.

Maisha ni kristo kufa ni faida, ukiwa mchafu baada ya kifo chako nafsi chafu zitakuzonga na kukutesa
Oohoooo
 
mbona huyo ana bikira wawili sisi tumambiwa ni bikira 72,!? au mudi kaanza kutupigaa😂😂 any way,.

Maisha ni kristo kufa ni faida, ukiwa mchafu baada ya kifo chako nafsi chafu zitakuzonga na kukutesa
Hio misalaba huioni mwana
 
Hii sawa na kusema ukienda jela nako utakula bata wakati hata bar ya kupata moja moto moja baridi hakuna. Kuna Manyapara na kipigo chao
 
Hapana jela ukipajulia ni mahali penye bata la kila aina.. Ila usiende kwa kesi za kijuha
 
Back
Top Bottom