Kig
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,076
- 456
Kwanza somo la ujasiriamali ni jipya hapa Tanzania. Pili mahali popote linapofundishwa kama vyuoni asilimia 100 ni natharia tu (theory), lecture, kukariri tu madesa, notice nk.
Mbaya zaidi hata hivyo vyuo vinavyofundisha ujasiriamali utakuta havina mradi wa ujasiriamali. Mwalimu mwenyewe wa some la ujasiriamali hata kama awe na PhD unakuta hana hata kioski, hata mradi wowote na maisha yake anategemea mshahara tu.
Katika hali kama hii tusitegemee mwanafunzi anayemaliza vyuo kama hivi atakuwa mjasiriamali. wote lazima wawe watafuata ajira serikalini.