siri ya jinsi ya kujiajiri!!!

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
891
237
tatizo la ajira limekuwa sugu na sio tz tuu ni dunian kote. Wanaofanikiwa ktk maisha kwa sasa ni wajasiria mali kama sio wanasiasa. leo hii nataka niwafundishe jinsi ya kujiajiri kuwa na big bussiness badala ya kutegemea kuwa mwajiriwa maisha yako yote. Baada ya kukaa kitaa miaka miwili nilibaatika kupata haya mafunzo ya ujasiriamali na sasa maisha yanaendelea vizuri
 
kinachotufanya watanzania wengi kuwa masikini ni uchoyo wa information. Alikuja mfaransa m1 alitupatia mafunzo ya jinsi ya kupata mtaji,jinsi ya kuanzisha biashara yako.jinsi ya kukuza biashara yako mafunzo yalikuwa ya wiki 2. Baada ya kukomaa alituonyesha oppotunity nyingi zilizopo tanzania na jinsi wa tz tulivyo lala kweli nilijiona mjinga sana nikasema ndo maana wakija wageni wanatajirika haraka sana nakubaki tuna roho ya kwanini .jamani kuna oopotunity nyinngi sana ss ndo tumelala uku tukibaki kulaumu serikali .plz haya mafunzo yanatolewa bure pale benjamin mkapa tower bure kbsa hamna kiingilio stop blaming anyone except u r self.uwoga wako ndo umasikini wako.kwa wale wanaoamini ktk ujasiriamali plz chk with me nikupe mchakato mzima.
 
0765377506.
Pls sio lazima u comment! Hii ni kwa wale wenye ndoto za kujiajiri yan self employment. Na nikusaidia watz wenzangu wanaohangaika na ajira. Na hii sio biahara ya umachinga no! Ni kuonyeshana oppotunities.
 
haya mafunzo yanaanza lini?
 
kweli huu ni uchoyo wa watz mnataka mfaidi ninyi tuu wazee wa jiji kunuka!
 
Hujaeleza chochote kuhusu namna ya kujiajiri wala fursa zilizopo. Au wewe ndio unataka kupewa hiyo elimu?

Tumia hii itakusaidia
 
Attachments

  • Go_BIG-E-Book2.pdf
    610.4 KB · Views: 1,252
Kaka weka mambo hadharani basi so that every one can understand well!!
Hiyo program huwa inakuwa siku gani na saa ngapi??
Yapi yanayozungumzwa!!
Na unaposema BENJAMIN MKAPA TOWER ni kubwa!! Ghorofa ya ngapi na uulizie unaenda wapi????
BAELEZEEE VIZURI BROTHER!!
 
Kwa kweli ukijaribu kufanya kauchunguzi ka kiana kwakuwaliza walio wengi vyuoni mategemeo yao baada ya kuhitimu karibia 98% watakuambia wanategemea kutafuta ajira ambazo zimekuwa bidhaa adimu hapa Tz, ni wachache sana watakuambia wanategemea kujiajiri, sijui ndo washajiwekea ukisha soma ni lazima uajiriwe na kujiajiri na kwa wasiosoma tu au wenye capital kubwa.
 
Hamna chuo kitakacho kupa elimu ya kupambana na maisha yan jinsi ya kujikwamua unajua kazi ziliwekwa uwe unaenda nakurudi. Mf. Ukimtengenezea bakhresa bil 1. Hawezi kumega mil 100 kukupa kama asnte instead atakutengeneze cheti cha ufanyakazi bora na kukupa mil 1. Au atakukopesha gari la mil 50 thn unalilipa maisha yako yote. Wengi wanafuraia wanapoanza kazi bt wakishazoea mishahara na kuanza maisha ya utumwa wa mda,madeni ndipo wanaanza kufikiria kuanzisha biashara kibaya zaidi hawajui pa kuanzia matokeo yake wanafanya bussiness zenye
Headache. Sijui unanisoma. Angalia walio thubutu kujiari na wakawa serious wengi wanamafaniakio sana.
 
Mimi i believe in kujiari yan mm ndo boss wa maisha yangu. Sio mtu anakupangia mda wa kuamka mda wa kuwa na mkeo.yan ww unakuwa huna uhuru.
Anakupangia lini uende likizo. Na anakupangia kipato. Damm it y usiyafanye hayo mwenyewe?
 
Kwa kweli ukijaribu kufanya kauchunguzi ka kiana kwakuwaliza walio wengi vyuoni mategemeo yao baada ya kuhitimu karibia 98% watakuambia wanategemea kutafuta ajira ambazo zimekuwa bidhaa adimu hapa Tz, ni wachache sana watakuambia wanategemea kujiajiri, sijui ndo washajiwekea ukisha soma ni lazima uajiriwe na kujiajiri na kwa wasiosoma tu au wenye capital kubwa.
Hamna chuo kitakacho kupa elimu ya kupambana na maisha yan jinsi ya kujikwamua unajua kazi ziliwekwa uwe unaenda nakurudi. Mf. Ukimtengenezea bakhresa bil 1. Hawezi kumega mil 100 kukupa kama asnte instead atakutengeneze cheti cha ufanyakazi bora na kukupa mil 1. Au atakukopesha gari la mil 50 thn unalilipa maisha yako yote. Wengi wanafuraia wanapoanza kazi bt wakishazoea mishahara na kuanza maisha ya utumwa wa mda,madeni ndipo wanaanza kufikiria kuanzisha biashara kibaya zaidi hawajui pa kuanzia matokeo yake wanafanya bussiness zenye
Headache. Sijui unanisoma. Angalia walio thubutu kujiari na wakawa serious wengi wanamafaniakio sana.
 
Seriously naomba utujuze lini hiyo training itafanyika. napenda sana ujasiriamali ila sijui how to start.
You are really a savior jamani duh!
 
Isaac, yote uliyoandika hapa ni malalamishi tu na hujaandika ni namna gani mtu ambaye mtaji pekee anaokuwa nao ni afya, elimu na muda. Umekalia kulalamika na kutulalamikia ambao tunaamini katika kuajiriwa kwanza na ndipo tujiajiri.

Weka mbinu hapa ambazo mtu aliesoma political science anaweza kujiajir :juggle: + i:yawn:=
A%20S%20embarassed.gif
 
Kaka Isaack mbona porojo nyingi? Au na wewe umeanzisha biashara ya kuuza madeli ya icecream na mabeseni unataka kutuvalisha tai tukauze? Mbona haujaweka kitu chochote zaidi ya Benjamin Tower? Weka useful info utushawawishi.
 
Kwa kweli ukijaribu kufanya kauchunguzi ka kiana kwakuwaliza walio wengi vyuoni mategemeo yao baada ya kuhitimu karibia 98% watakuambia wanategemea kutafuta ajira ambazo zimekuwa bidhaa adimu hapa Tz, ni wachache sana watakuambia wanategemea kujiajiri, sijui ndo washajiwekea ukisha soma ni lazima uajiriwe na kujiajiri na kwa wasiosoma tu au wenye capital kubwa.

So unadhani atafikiria nn na wkt mfumo haumuandai kuwa mjasiriamali...huko vyuoni pia ni wachache sn wanaosoma somo la ujasiriamali
 
Back
Top Bottom