kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Salama ndugu humu!?
Kiukweli naupenda wimbo Wa Hussein Jumbe uitwao "Siri" lakini kijana Rayvan Wa WCB ameufanyia marudio kwa maboresho ya kisasa na nimejikuta nikiupenda zaidi kuliko ule Wa gwiji Jumbe, na hivyo naweza kusema hii ni mojawapo ya Remix Kali kabisa kuwahi kufanywa na wasanii wetu Wa kizazi kipya hapa nyumbani. He nini maoni yako ndugu?
Nimeshindwa kuupandisha hapa nimeambiwa forum hainiruhusu kupandisha wimbo wenye mp4 format hivyo mwenye huu wimbo na format zingine naomba aupandishe hapa.