Mapenzi ya Siri - Hussein Jumbe

Filipo Lubua

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
339
578
Wadau,
Nimekuwa nikiutafuta wimbo niupendao sana Mapenzi ya Siri, ulioimbwa na mmoja wa waimbaji mahiri sana Hussein Jumbe. Tafadhali kama unao wimbo huu nitupie hapa na utakuwa umenisaidia sana.

Asanteni sana
 
mimi ninao Mwanangu huna nidhamu wa Dudu Baya
 
Wadau,
Nimekuwa nikiutafuta wimbo niupendao sana Mapenzi ya Siri, ulioimbwa na mmoja wa waimbaji mahiri sana Hussein Jumbe. Tafadhali kama unao wimbo huu nitupie hapa na utakuwa umenisaidia sana.

Asanteni sana
Mi ninao pamoja na nyingine nyingi za sikinde , msondo na rumba zingine ila nipo Lindi sijui ww unpo wapi au nikutumie kwa njia gani?
 
Mkuu mimi nahitaji ule wimbo wa BARUA YA TELEGRAM uliopigwa na Vijana Jazz Band. Nashangaa hata kwenye mtandao siupati.
 
Siri ya niniii ista wanajua..... siri ya niniiii facebuk wanajuaaaa......siri oohh jamaniii mapenzi ya siriiii..naliaaliaaaa:rolleyes:;):(:(:(
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom