Tetesi: Siri ya CCM kushinda majimbo matatu ya Ubunge

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Huu Ni ushindi wakimkakati. Ambapo inasemekana kushindwa kwa CCM kwenye miji ya Moshi na DSM ilikuwa ni hujuma ambayo ilifanywa na wana CCM wenyewe ambao hawakupenda kuona Rais wetu mpendwa akishinda. Ulikuwa ni mpango uliosukwa kwa siri sana na wana CCM wenyewe kukidumaza chama na kufanya mkuu awe na wakati mgumu ktk jiji.

Sasa kilichofanyika nikutuma msg kwa wengine waupinzani kuwa viti wamevikalia mwisho ni 2020 na huu ni ushindi mkakati.

Sii kweli wana Dar na Kilimanjaro hawaipendi CCM wala sii kweli kule Singida bwana yule alie shinda CCM alikuwa anapendwa sana na ndio maana majimbo yote haya matatu yatarudi kwa CCM.

Utafiti ulifanyika na majibu tunaenda kupata. Wagombea waliowekwa na CHADEMA ni dhaifu sana na hawawezi kupata ushindi.

CCM ushindi ni lazima tena mchana kweupe.
 
Huu Ni ushindi wakimkakati. Ambapo inasemekana kushindwa kwa ccm kwenye miji ya Moshi na DSM ilikuwa ni hujuma ambayo ilifanywa na wana ccm wenyewe ambao hawakupenda kuona Rais wetu mpendwa akishinda. Ulikuwa ni mpango ulio sukwa kwa siri sana na wana ccm wenyewe kukidumaza chama na kufanya mkuu awe na wakati mgumu ktk jiji.

Sasa kilichofanyika nikutuma msg kwa wengine waupinzan kuwa biti wamevikalia mwisho ni 2020 na huu ni ushindi mkakati.

Sii kweli wana Dar na Kilimanjaro hawaipendi ccm wala sii kweli kule singida bwana yule alie shinda ccm alikuwa anapendwa sana na ndio maana majimbo yote haya matatu yatarudi kwa ccm.

Utafiti ulifanyika na majibu tunaenda kupata. Wagombea walio wekwa na chadema ni dhaifu sana na hawawezi kupata ushindi.

Ccm ushindi ni lazima tena mchana kweupe.
Ni lazima mawaziri wapige magoti... Nguvu zinazotumika kuchukua majimbo zingetumika elsewhere (meza, viti, + vitendea kazi vingine, kutoa haki, kama wanavyofanya Makonda na Lukuvi). Inatosha tu kusema CCM itashinda jimbo lolote itakalosimamisha mgombea.
 
Magonjwa ya afya ya akili yana sumbua sana,unaweza ukakuta waathirika wa tatizo hilo wakisema kuwa lazima wawe marais wa marekani.Kwakweli Afrika kwa sasa hilo tatizo ni kubwa.
 
Wizi, uzandiki, na Ile ya nakadhalika.... Ndio Siri ya Ushindi, ni muda tu
 
Jana jukwaa moja la kampeni za ccm lilikuwa na wabunge 20 na mawaziri 10 ...
Wengi wa wabunge wa CCM pembeni walikuwa wanakiri Mtulia hawezi kushinda.

Kwa nini hawezi kushinda wakati watu ni wale wale waliompigia 2015!!.Ila Mtulia na Dr.Mollel kama mtasoma comment hii,mumeitia nchi hasara viongoz,i mapesa yote hayo kwenye unnecessary uchaguzi na kupoteza muda watu.Watu badala ya kushiriki shughuli za kujenga uchumi wanashinda kwenye Kampeni.Kama kuna wabunge wengine wana mpango kama huo naomba wauache jamani nchi haina fedha za kurudia hizi chaguzi,wahurumie wagongwa huko mahospitalini,wanafunzi nk..Mungu ibariki Tanzania
 
Kwa kinondoni chadema wamefanya kosa kubwa sana na wameanza kuona athari za kukurupuka
Kumsimamisha mgombea ambae yeye mwenyewe hatajipigia kura ni hatari sana

Mbona kuna mgombea wa juu kabisa anadai alisukumizwa tu kupata hicho cheo alikua anajaribu tu. Matokeo yake anapata frustration.
 
Jana jukwaa moja la kampeni za ccm lilikuwa na wabunge 20 na mawaziri 10 ...
Wengi wa wabunge wa CCM pembeni walikuwa wanakiri Mtulia hawezi kushinda.
Ndo maneno tuliyozoea mwisho wa siku ccm ushindi kwa kishindo.Kwa kasi hii ya uchapaji kazi ya Mh Magufuli hakuna wa kuishinda ccm tena 2020 wapinzani watapoteana kabisa.
 
Huu Ni ushindi wakimkakati. Ambapo inasemekana kushindwa kwa ccm kwenye miji ya Moshi na DSM ilikuwa ni hujuma ambayo ilifanywa na wana ccm wenyewe ambao hawakupenda kuona Rais wetu mpendwa akishinda. Ulikuwa ni mpango ulio sukwa kwa siri sana na wana ccm wenyewe kukidumaza chama na kufanya mkuu awe na wakati mgumu ktk jiji.

Sasa kilichofanyika nikutuma msg kwa wengine waupinzan kuwa biti wamevikalia mwisho ni 2020 na huu ni ushindi mkakati.

Sii kweli wana Dar na Kilimanjaro hawaipendi ccm wala sii kweli kule singida bwana yule alie shinda ccm alikuwa anapendwa sana na ndio maana majimbo yote haya matatu yatarudi kwa ccm.

Utafiti ulifanyika na majibu tunaenda kupata. Wagombea walio wekwa na chadema ni dhaifu sana na hawawezi kupata ushindi.

Ccm ushindi ni lazima tena mchana kweupe.
Unaandika ukiwa usingizini au unaota Unaandika?
 
Back
Top Bottom