Tetesi: Siri ya CCM kushinda majimbo matatu ya Ubunge

Huu Ni ushindi wakimkakati. Ambapo inasemekana kushindwa kwa CCM kwenye miji ya Moshi na DSM ilikuwa ni hujuma ambayo ilifanywa na wana CCM wenyewe ambao hawakupenda kuona Rais wetu mpendwa akishinda. Ulikuwa ni mpango uliosukwa kwa siri sana na wana CCM wenyewe kukidumaza chama na kufanya mkuu awe na wakati mgumu ktk jiji.

Sasa kilichofanyika nikutuma msg kwa wengine waupinzani kuwa viti wamevikalia mwisho ni 2020 na huu ni ushindi mkakati.

Sii kweli wana Dar na Kilimanjaro hawaipendi CCM wala sii kweli kule Singida bwana yule alie shinda CCM alikuwa anapendwa sana na ndio maana majimbo yote haya matatu yatarudi kwa CCM.

Utafiti ulifanyika na majibu tunaenda kupata. Wagombea waliowekwa na CHADEMA ni dhaifu sana na hawawezi kupata ushindi.

CCM ushindi ni lazima tena mchana kweupe.
Hakuna utafiti wowote ulioufanya zaidi ni ukanjanja tu
 
Back
Top Bottom