Chagger boy
Member
- Jan 27, 2018
- 50
- 39
Natumaini ni wazima
Katka kitu nimekuj kushanga kwenye hii tasnia ya Sanaa
Yan bila kiki huwezi kusogeza mziki wqko
Kam shabiki wa damu wa mnyama diamond nilifwatia hili jambo kiundani
Ila nimekuj kuona ni ujing kuchoma vocha kiangalia page za wasani wa kitanzania yani haijirudii ten yupo mwana jamii forom alitoa post kuhusu kuwafollow wasanii wakibongo
Sasa tuje kwenye point ukifwqtilia toka mwanzo wa movie hyo ya masterling ZARI na DIAMOND utakuja kujua ni kiki kwasababu
1:-Diamond anajifanya ajali chchte anajifanya anapost tuzo ili watu wajue anayotuzo kwasababu anajuwa mjakesha kwenye page yake
2;-Ku boost nyimboo za wasanii wa WCB hii ndo kama lengo yani wimbo unaopigiwa kiki niwa maromboso [HASHTAG]#NIMEKUZOEA[/HASHTAG] na wa lavalava UTATULIA yani wanatumia hyo kiki kusema diamond anamwambia mama T kwamba ka miss kwa kutumia wimbo wa Mboso na zari anamjibu kupitia wimbo wa lavalava
Daaq kweli kuwa uyaone Leo nimeyaona LIVE mfn mama T anaanzaje kumuacha diamond ww tumia akili ya la kwanza diamond kampa mimba mobeto akamrudia ety kisa kukumbatiwa sijui na Wema ndo amuwache
Ila sijui ata tembo ni mkubwa ila anauliwa na sisimizi tusubiri hii movie iishe maana ashatupa muda kwamba hii kiki itaisha kabla ya mwezi huu kuisha
Just wait............!