Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
Mimi kwaujinga wangu nadhani kuna event wanaitengeneza ya kupiga pesa maana mwisho wa siku utasikia part ya zari kumrudia domomond kiingilio laki na watu watakanyagana ukumbini