Siri usiyoijua juu ya kuachwa kwa Diamond

Chagger boy

Member
Jan 27, 2018
50
39
Natumaini ni wazima
Katka kitu nimekuj kushanga kwenye hii tasnia ya Sanaa

Yan bila kiki huwezi kusogeza mziki wqko
Kam shabiki wa damu wa mnyama diamond nilifwatia hili jambo kiundani

Ila nimekuj kuona ni ujing kuchoma vocha kiangalia page za wasani wa kitanzania yani haijirudii ten yupo mwana jamii forom alitoa post kuhusu kuwafollow wasanii wakibongo

Sasa tuje kwenye point ukifwqtilia toka mwanzo wa movie hyo ya masterling ZARI na DIAMOND utakuja kujua ni kiki kwasababu

1:-Diamond anajifanya ajali chchte anajifanya anapost tuzo ili watu wajue anayotuzo kwasababu anajuwa mjakesha kwenye page yake

2;-Ku boost nyimboo za wasanii wa WCB hii ndo kama lengo yani wimbo unaopigiwa kiki niwa maromboso [HASHTAG]#NIMEKUZOEA[/HASHTAG] na wa lavalava UTATULIA yani wanatumia hyo kiki kusema diamond anamwambia mama T kwamba ka miss kwa kutumia wimbo wa Mboso na zari anamjibu kupitia wimbo wa lavalava

Daaq kweli kuwa uyaone Leo nimeyaona LIVE mfn mama T anaanzaje kumuacha diamond ww tumia akili ya la kwanza diamond kampa mimba mobeto akamrudia ety kisa kukumbatiwa sijui na Wema ndo amuwache

Ila sijui ata tembo ni mkubwa ila anauliwa na sisimizi tusubiri hii movie iishe maana ashatupa muda kwamba hii kiki itaisha kabla ya mwezi huu kuisha
Just wait............!
 
Kesho shule,umeshanyoosha unifomu zako?
 
Pia kuna ulbum inatakiwa itoke baada ya siku 27..hii kiki ni wazi kbsaa kwa tunaojua onganisha matukio na jinsi movie inavyoenda.
 
Na mimi najiuliza kwa jinsi ya kesi mpya kumfuatilia mahakamani ambapo mwenye nyumba aelezee kwa jinsi gani uchaguzi wa Kinondoni umekuwa na utata mpaka Messi akose penalty ile muhimu dakika za majeruhi
 
Baada media fulani kususa kucheza nyimbo za wcb ilikuwa ni lazima watengeneze tukio ili kuhamisha macho na masikio ya followers kwenye page ya Diamond ili itumike kama chanzo cha kuwatangaza wasanii wake. Na ukiangalia wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno
 
Mmmh atamm nakubali huo mtego umeninasaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom