Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
- Thread starter
-
- #141
Cant you see im fuc.kn working and they take my money and call it Tax while nikiendeshwa na daladala/kuendesha privately barabarani i pay, nikienda hospital my insuarance or cash do the paying, if i fuc.k you in a guest they take a portion and call it service charge and tax, buying ped for you kukusitiri when you go red i pay tax, even when we go to toilet the landlord take the portion and pay as tax! where in hell do you say Serikali inanipa a free service? do you know the definition of a free good, do you know them? ni chuo kipi umesoma mpaka you beleive that serikali is giving us free services!
cc; mandella Advocate J
Kumbe sasa umekubali mnachukua wengi wa div 3 hadi za 15 sasa kelele zote mlizokuwa mnabisha za nn au mlikuwa mnataka kujaza thread tu.
huyu qn of sheba ndo anasema kuna free goods or services that serikali yetu ina offer, i dont know if she is okey upstairs!ni nchi inaendesha mambo yake bila kukusanya kodi , mwananchi lazima utoe kodi kwa namna yeyote ile , it is either direct or indirect ...
yaani ww unatetea kua burden kwa serikali ... ! kodi ni lazima , labda ungetetea kuwepo kwa unafuu wa kodi , lakini si hayo uyaongeayo ... nchi inaendeshwa kwa makusanyo ta kodi , tatizo lipo kwenye namna ya ukusanyaji pamoja na namna ya matumizi ya kodi hiyo ... lakini sio uniambie kila kitu free ... basi watu wangelala nyumbani unayoiita serikali uwahudumie ..
wewee naona unataka kuanzisha ligi na mimi dada yangu , sasa ngoja nikwambie kitu kimoja wapi nimesema kuwa iii.15 wapo? , hebu jaribu kutumia literal rule kutoa tafsiri ya hayo maneno,
Kama wewe unasema hawapo mimi nawajua wengi wenye III za 15 wapo hapo tena BAAF muhimu tu umekubali Muccobs wengi ni div III. Adios...tchao
hahahah unabahati sana! ,kwani wewe unasoma chuo gani?
Cant you see im fuc.kn working and they take my money and call it Tax while nikiendeshwa na daladala/kuendesha privately barabarani i pay, nikienda hospital my insuarance or cash do the paying, if i fuc.k you in a guest they take a portion and call it service charge and tax, buying ped for you kukusitiri when you go red i pay tax, even when we go to toilet the landlord take the portion and pay as tax! where in hell do you say Serikali inanipa a free service? do you know the definition of a free good, do you know them? ni chuo kipi umesoma mpaka you beleive that serikali is giving us free services!
cc; mandella Advocate J
Hahahah unabahati sana! ,kwani wewe unasoma chuo gani?
Teh teh bahati yann yani Muccobs hata ningesomeshwa bure nisingekuja na hata fomu za kujiunga enzi hizo hata sikuchukua any way ngoja nije kufundisha hapo iki niinjoy kuziona div 3 zikistruggle.
hahahah yani dah hivi kwenye kuapply chuo nowdays watu wanafuata form chuoni? , halafu hakuna chuo ambacho tanzania hakichukui division three, pia hata mtu akipata three itategemea na mazingira aliyotoka shule haina walimu,vifaa vya maabara,upungufu wa vitabu, ndo maana unakuta wanafanya vizuri wakiwa chuoni kutokana wametoka kwenye mazingira magumu, na pia kuna kubadilika kuna watu wanapata matokeo kutokana na matatizo mbalimbali
Teh teh ndo shida ya jf unaweza jikuta unabishana na mjukuu wako humu we unadhani me wa enzi hizi za TCU kuwadahili kama post za kwenda form five enzi zetu form unafata au kudownload mwenyewe unaaply chuo na unaweza chaguliwa hata vyuo vi tatu au nne then unaconfirm TCU kuwa utaenda chuo usika kwa kiandika barua tcu na chuo ulichochagua.Kulikuwa na single admission na multiple admisdion tena apo unavizia majina kwenye gazeti la daily news au uhuru uone majina ya chuo.Dogo kalale ukue usijekugombana na dada zako huku.
Yeah she did and to only my father, i want yours too, does it have degrees pia? how much shall i pay to drill?Teh si aliyekuzaa naye alilipwa na akapata ya kwenda hospital ukajifungua.. kumbe kujiuza kunalipa shukuru maana ungezaliwa chini ya mti.
mbona hoja ya division umeiruka? hujaielezea, hebu jibu na hiyo hoja
Yeah she did and to only my father, i want yours too, does it have degrees pia? how much shall i pay to drill?
Mkimaliza kubishana mniambie.
mnunuzi na muuzaji hukutana pamoja .. Na kama ulishanunua ngono moshi aliyekuuzia akakuambia ni mwanafunzi wa pale kakudanganya ili umuone wa thamani other wise hakuna ukweli .
Nakubaliana nawe mkuu,muccobs aka muccobize elimu yake ngumu kama harvard watu wanasoma utafikiri wanafunzi wa sekondar,pia nidham lazima iwepo tu kwa njia yoyote! Hapana chezea C.C.P kabisa wakizingua tu jamaa wanashuka kufanyia field pale
Wacha kukurupuka wew mimi nimesoma hapo bila ya point 4 form six uwezi ingia muccobs kipindi tcu walikuwa hawapo na kama ulikuwa ukihonga lazima tu watakukamata na kukulazimisha uanze na diploma walioharibu ule utaratibu wa point nne na tcu kama unafahamu vizuri majibu unayo mwanafunzi mwenye point nne anadiv ngapi
,una uhakika kwamba MUCCoBS inachukua division three peke yake? mfano mtu kapata one form6 anataka aidha asome BACHELOR OF ARTS IN CO-OPERATIVE MGT AND ACCOUNTING , BACHELOR OF ARTS IN MICROFINANCE AND ENTERPRISE DVPT au BACHELOR OF ARTS MAKERTING AND ENTEPRENEURSHIP ataenda wapi?Hoja ya division ni hii nenda na hiyo division 3 yako Ud ukaombe Bcom kama utapata sana sana utapelekwa education ila Muccobs ukiwa na 3 una uhakika kwa 200% utasoma BAAF au cozi nyingine so umekubali wanaoenda Muccobs wengi wangeomba vyuo vingine wangetupiwa Education sababu ya ufaulu mdogo.