qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
we mbwiga(qn of sheba) njoo usome hapa!
Acha hasira wewe na acha umbula ndo shida ya kukurupuka kureply bila kusoma nilichokiandika angalia post zangu ndo uje kuniita ita hapa nimekuambia wenye three hapo ni wengi wenye two ni wachache na wenye one ni mmoja kati ya kumi na wenye four wapo kibao wanasoma diploma we vipi mbona hueleweki kama papuchi za msichana. Utaniita majina yote ila hautabadilisha ukweli muccobs ni chuo cha div 3 ndo maana mnalalamika shule ngumu.