Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Hawajui kuwa vyuo vyao ndo vilisababisha kuanzishwa kwa TCU ili iweze hata kuwapangai watu walio na div 2 kiasi maana bila hivyo kuna vyo vingefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hafu utakuta wanamaliza na 1st class karibia darasa zima wakati kuna vyuo vinafundishwa na watu ambao hata degree 1 hawana.
Bora wewe umesema maana wengine tukisema hivyo tunaonekana tuna gubu tena nimegundua vitoto vinavyobisha humu ni vifirst year walosoma hapo nakumaliza wanajijua walikuwa wanaingia na division ngapi.