Izo 1.5 T zimebaki propaganda mitandaoni lakini pale Bungeni walishindwa kuthibitisha, Zitto alitaka kujaribu kutumia ripoti ya CAG kumchafua JPM lakini alishindwa vibaya pale Bungeni. JPM yuko vizuri na mzarendo Halisi kutokea katika familia za kawaida kabisa.Kwa hiyo unamaanisha hakuna Tr 1.5 ambayo matumizi yake hayajajulikana mpaka leo?Mkuu usitake watu wakuporomoshee matusi asubuh asubuh maana watu wanaugulia moyoni.