KICHWA BOGA
Member
- Apr 27, 2014
- 51
- 15
PAMOJA na kudhani umepata elimu sahihi Finland, bado huwezi kutofautisha kati ya mjasiriamali na mfanyabiashara, kwa kusaidia tu,
kila mjasiriamali ni mfanyabiashara lakini c kila mfanyabiashara ni mjasiriamali...
Pia, nadhani nawe ni miongoni mwa wasiojua mbinu za biashara japo unadai umesoma nje na kuwadharau waliosoma ndani, hakuna mbinu ya biashara ya kulumbana na mpinzani kama ufanyavyo wewe, unaponda wanaotoa elimu kama utoayo wewe ili kuwaaminisha watu kuwa walipo c sahihi, nadhani ungeboresha kwako kwa kutumia weaknesses zao ili watu wakiona huduma yako nzuri wajilete na c kusema wanadanganywa au ulitaka nao wafundishe kama ulivyojifunza nje? ubunifu ndg ni muhimu otherwise, utabaki kujiproud na elimu yako ya nje ambayo yaweza kuwa ni certificate tu, baadhi ya hao unaosema wanadanganya wametoka nje kuchukua elimu zao za juu but wanatumia mbinu za kijasiriamali kushika soko na c lugha za kejeli. unadhan kitabu chako cha kumi na tano elf, kitaweza kumaliza changamoto zote? KASOME TENA.